MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,223
- 6,717
Mbona huyo haelekei kuwa ni Kitwanga, na hapo si mwaka 1992, hapo inaonekana ni bungeni Dodoma wakati mheshimiwa tayari ni naibu waziri....
We huoni huo mkoba wake wenye chata ya serikali na nyuma anaonekana Jackson Makweta aliyekuwa waziri sijui wa nini enzi hizo.....
We huoni huo mkoba wake wenye chata ya serikali na nyuma anaonekana Jackson Makweta aliyekuwa waziri sijui wa nini enzi hizo.....