Izc
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 546
- 368
Tuwadhamini waalimu jamani wana hali ngumu, mara vishikizo, viraka vya nguo nkNaona kifungo/kishikizo original cha koti chekundu kilitoka akaamua kurudishia cheupe, safi sana hii!!
Tuwadhamini waalimu jamani wana hali ngumu, mara vishikizo, viraka vya nguo nkNaona kifungo/kishikizo original cha koti chekundu kilitoka akaamua kurudishia cheupe, safi sana hii!!
Mwanangu nilipoliona koti nikajua labda ni enzi zile nguo hamna mbona jamaa yeye kitwanga kapiga pamba saafKumbe style yake muheshimiwa ya makoti makubwa yenye mikono mirefu iliyopwaya alianza nayo toka longi.
Wardrobe mishap!
Kwa kusoma lugha ya mwili tu hapo kwenye picha nimegundua Kitwanga ndiye aliyetoa ofa ya kupiga hiyo picha.Inaonekana mkulu alikuwa anapendelea viatu vya ile kiwi ya dark tan kama mie,halafu ni mtaalamu wa colour separation kabisa kabisa,miwani myeusimyeusi,koti na tai red,shati nyeupe,suruali sijui bluu ile?brifukesi nyeusi,maandishi ya njano,ule mtwango kule chini dark tan,jamaaani,kapendeeeza KWELI KWELI!
Hillary Clinton leo kaionyesha dunia kuwa mwanamke anaweza kuwa Rais wa Taifa kubwa kama Marekani.
Rais Magufuli kaionyesha dunia na Tanzania kuwa mtoto wa mkulima/masikini anaweza kuwa Rais wa taifa hili. Ukiangalia hiyo picha ni wazi Rais Magufuli katoka mbali sana sana...
Mungu azidi kumbariki. Na azidi kupigania mamia ya watoto wa masikini waliopo nchini..
Kumbe ben kajificha jamii forumsKuwaita Vilaza watoto wa Wakulima ndio kuwapigania gani huko.Huyo Mungu unayemuomba ambariki ungeanza kumuandika kwa Kuanza na herufi ndogo tu yaani "mungu" na sio huyo Mungu anayeabudiwa na wale watoto wa wakulima aliowatusi na kuwadhalilisha.
Ifikie hatua HATA AIBU muwe mnaona!Hillary Clinton leo kaionyesha dunia kuwa mwanamke anaweza kuwa Rais wa Taifa kubwa kama Marekani.
Rais Magufuli kaionyesha dunia na Tanzania kuwa mtoto wa mkulima/masikini anaweza kuwa Rais wa taifa hili. Ukiangalia hiyo picha ni wazi Rais Magufuli katoka mbali sana sana...
Mungu azidi kumbariki. Na azidi kupigania mamia ya watoto wa masikini waliopo nchini..
![]()
Yale makot yaliyokuwa na mikono mirefu???Sheria ana contract nzito ya kumvalisha rais wa Dar.
No sikukani labda kama uliniota kwenye zile wet dreams zenu, na ulipoamka ukajikuta, ukadhania nilikuibukia!, kiukweli kabisa nimetoka bila bila kwa sababu nilianzia TSJ, nikatoka na mke ndipo nikaenda UDSM.Una nikana?
Ndio maana umejificha!Kuwaita Vilaza watoto wa Wakulima ndio kuwapigania gani huko.Huyo Mungu unayemuomba ambariki ungeanza kumuandika kwa Kuanza na herufi ndogo tu yaani "mungu" na sio huyo Mungu anayeabudiwa na wale watoto wa wakulima aliowatusi na kuwadhalilisha.
Huyo ni Mh. Paul N. Makolo mbunge wa Kishapu - ShinyangaHuyo siyo kitwanga