Picha: Rais Magufuli na Kitwanga 1992

Picha: Rais Magufuli na Kitwanga 1992

Jaman sisi tunapenda kazi tu ndo maana ni wakulima bora mambo ya fashen tupa kule.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2]
 
Ben unaonekana umepaniki sana... Nadhani sio wewe tu ni ukawa wote.. Tunawaomba muwe wapole tu kwanza
Hakuna aliyepaniki. Ila mtu anayeshadadia kisichoeleweka bila shaka ana ugoto kwenye kuyaona mambo kwa uyakinifu wake!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Lengo la hii picha bado sijalielewa, au jamaa anataka kumkumbusha Rais kwamba Kitwanga ni jamaa yake wa karibu na wametoka nae mbali sana?
 
Hivi walikuwa wanaendaje out na mama? Hapo upepo ukivuma linaweza kuwa parachute
Jf kuna raha jamani brother asije akaitumbua brother hata sura yake anaonekana Mtata kweli kweli chek na pozi rake hadi raha naona hata mama akiitazama anafarijika kwa mitupioa ya mzee
 
Hacha kuongea pumba wewe...hiyo ni miaka ya 1992 kwa kipind hicho hapo wapo very smart sasa wewe utampondaje? Au wewe unafikiri kalivaa leo?
Povu linakutoka wakati hayo mapigo alitakiwa avae mskuma alie misungwi sasa huyo alikua dar hahaaa.mm ni msukuma na nawajua ndugu zangu kwa kuvaa ni zero ila kwa kazi ni A+
 
Mwaka '92 nusu ya wana JF walikuwa bado wamo kwenye testes lakini ona wanavyokosoa sasa. Sisi tuliokuwepo huo mwaka na akili zetu timamu tunapata picha ni jinsi gani Mkulu alivyotokelezea.

You are talking the event that happened 25yrs ago.

Afu we Leo unadhihaki,ovyooo
 
Back
Top Bottom