libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,477
- 3,641
Basi ni nani?mleta mada acha uongo...huyo sio Kitwanga
Basi ni nani?mleta mada acha uongo...huyo sio Kitwanga
mleta mada acha uongo...huyo sio Kitwanga
Kitwanga mtoto wa town kitamboSwaga za presidaa zinaniacha hoi. Kitwanga kumbe wa mjini sikunyingi eehh.
Hivi mtu na koti suruali safi viatu kiwi,miwani black kabegi poa unasema katoka mbali.Nikikuwekea picha yangu utasemaje?Yaani!!! Chakubanga kafika zanzibar
ndiye ila hajapiga mai hapo ndio mana anakubishiaLete ukweli wako sasa
Wasukuma mnajua kustiri maungo kuvaa labda Nyani Ngabu awape somo.
Alikua habrashi hata viatu.Hillary Clinton leo kaionyesha dunia kuwa mwanamke anaweza kuwa Rais wa Taifa kubwa kama Marekani.
Rais Magufuli kaionyesha dunia na Tanzania kuwa mtoto wa mkulima/masikini anaweza kuwa Rais wa taifa hili. Ukiangalia hiyo picha ni wazi Rais Magufuli katoka mbali sana sana...
Mungu azidi kumbariki. Na azidi kupigania mamia ya watoto wa masikini waliopo nchini..
wenye akili za kushikiwa utawajua tu,usikute huyu naye ana degree,hii ndio Tanzania.wasomi wa chuo kikuu na wasomi wa darasa la tano hawana tofautiHillary Clinton leo kaionyesha dunia kuwa mwanamke anaweza kuwa Rais wa Taifa kubwa kama Marekani.
Rais Magufuli kaionyesha dunia na Tanzania kuwa mtoto wa mkulima/masikini anaweza kuwa Rais wa taifa hili. Ukiangalia hiyo picha ni wazi Rais Magufuli katoka mbali sana sana...
Mungu azidi kumbariki. Na azidi kupigania mamia ya watoto wa masikini waliopo nchini..
Inaonekana mkulu alikuwa anapendelea viatu vya ile kiwi ya dark tan kama mie,halafu ni mtaalamu wa colour separation kabisa kabisa,miwani myeusimyeusi,koti na tai red,shati nyeupe,suruali sijui bluu ile?brifukesi nyeusi,maandishi ya njano,ule mtwango kule chini dark tan,jamaaani,kapendeeeza KWELI KWELI!
Umeona na kwenye koti mkulu amebakiza alichokula kidogo, sijui ni yoghurth?Inaonekana mkulu alikuwa anapendelea viatu vya ile kiwi ya dark tan kama mie,halafu ni mtaalamu wa colour separation kabisa kabisa,miwani myeusimyeusi,koti na tai red,shati nyeupe,suruali sijui bluu ile?brifukesi nyeusi,maandishi ya njano,ule mtwango kule chini dark tan,jamaaani,kapendeeeza KWELI KWELI!
Sheria ana contract nzito ya kumvalisha rais wa Dar.Nyie buku7 Hivi sheria ngowi hana deal tena huko White house of mágogo......
Dar Haina RaisSheria ana contract nzito ya kumvalisha rais wa Dar.
Noted lakini leo amesema hakuna kufanya maandamano kwenye mkoa wake.Dar Haina Rais
Ova.....
Siyo cheupe mkuu, hiyo ni reflection ya mwanga wa jua.Naona kifungo/kishikizo original cha koti chekundu kilitoka akaamua kurudishia cheupe, safi sana hii!!