Wasiwasi wako ni nini? Kama ana ukimwi si umesema hamjachakachuana!! Ili kukata mzizi wa fitina nashauri mkacheki afya zenu.
Tusipime kwa macho, lakini kama hata yule anao nimekata tamaa kabisa!
Wasiwasi wako ni nini? Kama ana ukimwi si umesema hamjachakachuana!! Ili kukata mzizi wa fitina nashauri mkacheki afya zenu.
Mimi nilipata dawa siku ya jumamosi tarehe tano mwezi Machi.
Hali ni mbaya na ya kutisha. Wagonjwa mahututi ni wengi na wangine wamefia pale na maiti zao kufungwa na mikeka na kupakiwa juu ya carrier ya gari kama mzigo.
Wakati unaendesha gari kuelekea Loliondo au kutokea huko bila kificho mlima huu utauona bila kificho unaitwa Mount Oldoinyo Lengai, kwa kimasai wao wanamaanisha ni mlima wa Mungu!
kwi! kwi! kwi! ina maana anaogopa jamaa simuambikize kisukari,hypertensio au asthma?labda kaenda kutia kinga mwilini.......
Wanaume mnapenda kucontrol wanawake sana sasa hata hajafikia ngazi ya uchumba unataka kumpangia maisha . Mwache atumie uhuru wake mpk utakapoamua kumuoa
Mimi nilipata dawa siku ya jumamosi tarehe tano mwezi Machi.
Hali ni mbaya na ya kutisha. Wagonjwa mahututi ni wengi na wangine wamefia pale na maiti zao kufungwa na mikeka na kupakiwa juu ya carrier ya gari kama mzigo.
Niliona askari wawili tu na mgambo wengi ambao walikuwa wanawatandika wagonjwa waliojaribu kukiuka utaratibu. mgambo walikuwa na madaraka kuliko mkuu wa kituo cha polisi.
Serikali ichukue hatua haraka kupunguza mateso makubwa wanayopata watu.
Kuwekwe kituo kila mkoa ambacho kitaratibu watu wanaotakiwa kwenda kutibiwa ili idadi hiyo iendane na uwezo wa babu kutibu kwa siku.
waafrika tunamapungufu makubwa katika kutumia karama tulizopewa na Mungu hata sasa askofu Kakobe ametamka kuwa huyu babu akanyagwe na kusambaratishwa kwa kuwa anatumia mashetani.
inawezekana wagonjwa wengi wamekimbizwa kutoka mahospitaliniJamani, wanakufa tena??? Jamani watu washauriwe wasipeleke mahututi, maana babu hana emergency ward, ni mpaka folleni yako ifike!
R.I.P.
inawezekana wagonjwa wengi wamekimbizwa kutoka mahospitalini
Ha ha haha JF kila kitu mnafikiri ni siasa mnahitaji maelezo....Mkuu wewe huumwi kama ungekuwa unaumwa..wewe sasa hivi wala ungekuwa hupatikani kwenye simu uko kwa babu wangoja Huduma...its all about imani...na imani zinatofautiana kati ya mtu na mtu..achilia mbali...mambo ya spritual healing...get ur money and start safari to loliondo if unaimani kweli kwani si chochote kama huna imani.
Watanzania bwana sijui walirogwa na nani yani uzushi tu watu wanaamini hata bila ya kuhoji. Ulikuja uzushi kuwa Kikwete ni changuo la mungu watu wakaamini akapigiwa kura nyingi matokea yake wote tunajuta; ikaja desi watu wakaamini kuwa ndiyo njia ya mkato kuelekea kwenye utajiri; matakeo yake watu walilizwa vibaya sana. Babau wa Loliondo amakuja na uzushi wake wa tiba watu ameamini tusubiri matokeo.

Ni tiba tu hamna kinga? Kwetu tunakisukari,nami najua in due time ntakipata. Ingependeza sana kama ingekua ni kinga pia. Coz BABU hatakuwepo yakinisibu.
hivi wewe unaelewa kweli? si umeshaambiwa babu hawezi kuhama na hata hapo alipo sio kwake?
au unataka ueleweshweje hasa uelewe?