Picha na stori za Loliondo- kwa Babu

utaratibu ni kitu muhimu sana ili kila mtu apate huduma sahihi
laa zivo hapo patazuka magonjwa,na wagonjwa wengi kufa kabla
kupata dawa za babu!!

ila kweli watu tunaumwa na tuna shida aisee
 
Haya mambo ngoja niyavutiye pumzi kwanza!
Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote, nchi nzuri Tanzania jina lako ni tamu sanaa .....

Hapa sasa pamekolea, sijui wale wenye kudai Shs 94 billion watalipwa ktk kipindi hiki ambacho macho mengi, masikio na midomo pia na kamera, karamu na vinasa sauti vimeelekezwa Loliondo; au kuna mtu anafuatilia ili wasijelipwa ktk nyakati hizi. Mmmmmh,
Tanzania aaa, Tanzania aaaa, nakupenda Tanzania aaaaa
 
Crap bin Pumba hizi mara sijui viongozi hawashughulikii shida za wananchi wakati thread ni dawa ya babu wa loliondo na legitimacy yake. Mara tutakuwa machizi na vichaa utafikiri wewe ndio mungu uliyetuumba wakati sie wengine tunakuzibua masikio na macho ujue kuwa huo ni ushirikina tu hakuna zaidi. Ndio tunataka tafiti za kisayansi na sio babu sangoma analeta mauza uza yake tuende kunywa tu tukidhurika je ....
Kwa taarifa yako kabineti nzima imeisha kunywa dawa kwa babu pamoja na waziri wa afya.........ulitaka dawa hii itoke Ulaya?????
 
Kwa taarifa yako kabineti nzima imeisha kunywa dawa kwa babu pamoja na waziri wa afya.........ulitaka dawa hii itoke Ulaya?????

Sishangai kiongozi kwani kabineti nzima na rais wake wanalindwa na Sheikh Yahaya na majini wake au umesahau alisema yeye atatoa ulinzi usioonekana? Ushirikina tu huo.
 
Back
Top Bottom