Mkuu Ndallo shukrani kwa taarifa.
Kuna ile barabara inayopitia hifadhi ya Ngorongoro, sina hakika kama watu wamefanyia utafiti njia hii ingawa inaweza kuwa mbali sana.
Kuna haja ya serikali kuchukua hatua mapema ili kurahisisha upataji dawa kwa muda mfupi, vinginevyo serikali hiyo hiyo inaweza kuingia gharama kubwa kutakapotokea maafa kutokana na msongamano ulioko na unaotarajiwa kuongezeka huko.
''KWAMBA ANATOKA KWA MUNGU AU KWA SHETANI SIJUI, NINACHOJUA MIMI NI KWAMBA NILIKUWA MGONJWA NA SASA NIMEPONA