Well and good!!
Haijawahi kutokea watu kwa makabila, imani zao, mataifa yao, hali zao za kimaisha kukutana kwa ajili ya mtu mmoja kama ilivyotokea Loliondo.
Mimi nashauri serikali ichukue wagonjwa kumi wa kansa pale Ocean Road na kuwapeleka huko Loliondo kwa helcopter ili wajiridhishe na tiba hiyo ksha wafanye monitoring ya wagonjwa wao wakiwarudisha Dar.
Jibu ni moja watafunga ile hospitali ama kuibadili kuhudumiaa wamama wajawazito.
Siku ya Jumamosi mchungaji alitoa tamko ambalo hata mimi nalikubali kuwa UKIWMI utabaki kuwa historia.
Ushuhuda wa mzee mmoja unatokana na mtoto aliyekuwa akimlea na ambaye alikuwa ameambukizwa virus vya UKIMWI na wazazi wake ambao wote ni marehemu kwa sasa. Mtoto huyo alikuwa na hali mbaya sana na alipata jerha baada ya kung'atwa na mbwa. Donda hilo lilikwa likiongezeka siku hadi siku na mtoto alikuwa amefikia hatua ya kushindwa kujimudu kwani ata shule alikuwa hawezi tena kwenda. Babu alipata taarifa likini hakuamini. Baadae aliamua moyon mwake kuwa hata akikaa na mtoto yule bado atakfa tu hivyo akaamua kumtafutia watu wa kwenda naye kwa BABU. Baada ya tiba alirudi nyumbani na baada ya wiki moja matunda yalishaanza kuonekana kwani kidonda kililikuwa knakaribia kufunga na mtoto alikuwa amepata nguvu hata ya kwenda shule na alikuwa anapata hamu ya kula. Baada ya yule babu kuona hivyo ikabidi na yeye afunge safari kwenda Loliondo kupata tiba ya kisukari kinachomsumbua.
Na pia siku ya Jumamosi tar 5 Machi, kuna mgonjwa wa kansa aliyekuwa hawezi kabis na kwa miezi minne alikuwa hapati usingizi, baada ya tiba ya babu akawa mzima na akaanza kula.
Kuna wengi na wengine wengi ambao nina shuhuda zao.
Amini nawe utapona
Tumsifu Yesu Kristo!!!