Picha na stori za Loliondo- kwa Babu

Picha na stori za Loliondo- kwa Babu

Je, mawasiliano ya simu yapo. Namaanisha kuna mtandao wa simu unaotoa huduma huko kwa babu?

Mawasiliano yako kama km 17 goka kwa babu. Ukitoka njia panda pale kwenye container ukifika kwenye kona ya pili karibu na tenki la maji na josho la mifugo kuna kibao kinaonyesha km 25 kwa Mchungaji, baada ya hapo kama kilomita tano kuna signal za simu. Baada ya hapo hakuna mawasiliano tena.
 
au ndio kale kaugonjwa?kudadadeki jifanye staa ujifiche fiche wakati babu yupo loliondo ukione cha moto........acha akapate tiba bado mkuu wa nchi kumuomba babu atimbe mjengo mweupe na mzigo.......
 
afadhali akatibiwe bichwa lake ili ubongo ukae fresh mana ulikwishaexpiry!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
sawa lakini linapokuja swala la afya lazima kila mtu ajijali,kama wewe ni mzima heri yako

Wangapi wako pale?
Ushangai kwanini Kibonde tu atajwe? Kwa sababu ya udaku wake mie mwenyewe naelekea huko vile cna makuu mhh napeta na kaugonjwa kangu kutibiwa na hakuna atakaye ni shangaa huko!
 
lakini vipi waliopata huduma wanasemaje kuhusu dawa ya babu?
 
hivi wewe unaelewa kweli? si umeshaambiwa babu hawezi kuhama na hata hapo alipo sio kwake?
au unataka ueleweshweje hasa uelewe?

Then we want to know the reason why he shouldnt be moved ..is the service superstious?

....If its clearn alternative medicine service ...like chinise, indian..or any other spiritual healing service then it should follow the international standards...
GET IT VERY CLEAR
....THE SERVICE SHOULD BE MOVABLE..!!!!!!

And that is what we want to know ..is it geographical related service ..then how???
 
Du nashukuru kwa maelezo yako... Kweli nimeamini mwenye kuvumilia mpaka siku ya mwisho ndiye atakayepona!!!
 
Wajameni, pamoja na maroroso yake yote, Kibonde pia ni human being kama mimi na wewe, anayestahili heshima ya utu wake, 'dignity' na right to privacy!. Hata mimi binafsi nasubiri foleni zipungue, nitie timu Loliondo!.

Well said!
Thank you for advocating for him.Kila mtu anayo haki kwenda huko kupata tiba au hata kupata habari.
 
Afya kwanza. Majungu badae. Mwacheni aende bana.
 
ni haki yake kama ilivyo kwa wengine! ukiachilia mbali upuuzi wake
 
ASANTE SANA KWA INFO.
pole kwa kwenda na kutopata dawa,una moyo mkuu.ningekua mimi ningeendelea kuvumilia nitimize lililonipeleka.
nilipanga kwenda baada ya kwaresma sasa kama bado ataendelea kuwepo nadhani baada ya wiki mbili ndo nitakwenda.
 
Pole sana Ndallo,
Mimi nina jamaa zangu leo ni siku ya 4 hawajaludi na hawapatikani kwenye simu.
Ushauri wangu,
  • Makampuni ya simu wafanye mpango haraka wa kupeleka mawasiliano huko.
  • Babu awe no Ofisi Arusha mjini na watu waende kwa booking,pawepo na idadi fulani ya watu kenda huko.
  • Selikali iingilie kati kulatibu zoezi zima.
 
Ameenda kuchukua dawa baada ya utabiri wa Sheikh yahya kuwa kuna mwandishi wa habari maarufu atakufa mwaka huu, na dalili zinaonyesha kuwa anaweza kuwa ni Kibonde so amelazimika kujihami.
 
Pole sana Ndallo,
Mimi nina jamaa zangu leo ni siku ya 4 hawajaludi na hawapatikani kwenye simu.

Ushauri wangu,
  • Makampuni ya simu wafanye mpango haraka wa kupeleka mawasiliano huko.
  • Babu awe no Ofisi Arusha mjini na watu waende kwa booking,pawepo na idadi fulani ya watu kenda huko.
  • Selikali iingilie kati kulatibu zoezi zima.

Mkuu B,

Maoni uliyotoa ni ya muhimu sana!

lakini cha ajabu watu wengi hawoni kuwa hivyo ni vigezo muhimu sana kwa kuboresha huduma yenyewe.
 
RE:SAFARI YANGU LOLIONDO
asante kwa info mkuu,sasa tell me is there any other short cut to that place? i have my grandpa ambaye yuko kwenye critical condition pale kcmc nataka apelekwe pale jioni ya leo pse tell me coz nimefarijika kupata first hand info from a person aliyefika kabisa kwenye eneo
 
Tatizo anachonga sana wala sio kwamba yy sio binadamu
 
Back
Top Bottom