Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,069
Bi Sophia Simba uko na huku?
Mpwa mambo vipi?
imekuaje tena wenye nyumba wamefanya waliyoyafanya?
Bi Sophia Simba uko na huku?
loliondo hakuna network, rev hawezi patikana atahudumia kwa miezi mi3
Mpwa mambo vipi?
imekuaje tena wenye nyumba wamefanya waliyoyafanya?
Kuna yule jamaa mvaa shumizi alileta za kuleta kama kawa akapata kubwa! Mshikaji tunawasiliana sana. Thanks
Bora akaonane na Mchungaji mwezake..
Jamaa anatafuta dawa ya kumaliza ufisadi! Chenge, Rostamu, Kikwete, Manji, Mkono, na wengine lazima waende Loliondo
Mh anatabu hayo pia?
Mbona babu amekuja kiukombozi zaidi na muda Muafaka!
Ndugu yangu BABU hafai anatibu ufisadi na hata rushwa! Tunataka muomba Kikwete aende
Bi Sophia Simba uko na huku?
Teh teh teh uliwaza nini ukambatiza hilo jina linafaa sana huyu dogo kwani anakeraa!
Mtu B upo, habari ya siku bwana...................
Daa yaliyopita sio ndwele tugange yajayo, lakini hii ndiyo dunia tunayopitia mtu angu,
Ukiona unacheka leo shukuru Mungu, huwezi jua kesho au baada ya hicho kicheko kitafuata nini.
Usiwe na hofu bwana, wala usiwe na uhusiano wa kitandani usije ukajisahau akabeba mimba kabla ya ndoa.
Nendeni mkapime afya, msamehe kwa kukudanganya, kwa sababu hata uongo wenyewe hauna maana sana,
ni dhamu ya woga tuuuuu, hasa ukizingatia ameenda kupata matibabu.
Other wise, usisahau kutualika kwenye harusi.
Wanaume mnapenda kucontrol wanawake sana sasa hata hajafikia ngazi ya uchumba unataka kumpangia maisha . Mwache atumie uhuru wake mpk utakapoamua kumuoa