Picha na stori za Loliondo- kwa Babu

Picha na stori za Loliondo- kwa Babu

Hongera babu wa Loliondo. Nakushauri, ongeza bei maana baishara imechanganya; soko huria bwana.
 
View attachment 24616
View attachment 24617
View attachment 24618
View attachment 24620

View attachment 24621
View attachment 24622
View attachment 24623
View attachment 24624
View attachment 24626

Wandugu mpaka jana kwenda Loliondo kwa basi ilikuwa ni Tshs 80,000.00 toka 35,000.00 kwenda na kurudi. Cruiser ni kati ya Tshs 100,000.00 - 150,000.00 na basi three days before uwe umeshakata tickets yako vinginevyo itakula kwako.

Kama wote hao ni wagonjwa nani mzima? Tunalia tuko nyuma kimaendeleo kumbe sababu kubwa ni kwamba tu wagonjwa!!!!!!
 
Mimi nadhani badala ya wizara kufanyia utafiti dawa hiyo, kitu ambacho majibu yake yatakuwa sintofahamu, ingefanya yafuatayo;
-Kuchunguza miongoni mwa waliokuwa wagonjwa wa maradhi tajwa na kujiridhisha kwamba wamepona au la,
-kuwafanyia uchunguzi watu hao ili kujiridhisha kwamba hakuna side effects in future hata kama sasa wamepona,
-kushirikiana na serikali wilayani loliondo kuboresha mazingira ya eneo la Mchungaji ili dawa itolewe katika mazingira safi na salama.

Sahara Voice

Umenena vyema, mazingira ya yule mzee ni magumu sana . lazima wizara iangalie mkusanyiko ule usilete magonjwa ya milipuko kama kipindupindu . Vyoo vichimbwe kwa haraka.
 
Mimi nadhani badala ya wizara kufanyia utafiti dawa hiyo, kitu ambacho majibu yake yatakuwa sintofahamu, ingefanya yafuatayo;
-Kuchunguza miongoni mwa waliokuwa wagonjwa wa maradhi tajwa na kujiridhisha kwamba wamepona au la,
-kuwafanyia uchunguzi watu hao ili kujiridhisha kwamba hakuna side effects in future hata kama sasa wamepona,
-kushirikiana na serikali wilayani loliondo kuboresha mazingira ya eneo la Mchungaji ili dawa itolewe katika mazingira safi na salama.
Sahara Voice;
Big up sana! Nakubaliana na wewe. Wanatakiwa wawachunguze watu ambao tayari wameishaitumia. Under normal circumstances, dawa hufanyiwa uchunguzi prior kutumiwa na wanadamu, na siyo wakati tayari imeshatumika. Ku-acertain whether ina madhara au haina, wawafanyie uchunguzi wale waliokwishaitumia!
 
Baada ya kusikia askofu msataafu amezidiwa na wagonjwa Rev ameenda kutoa msaada huko

Mungu amzidishie Rev kwa kwenda kuokoa jahazi leo ucku ataambukizwa upako na atakabidhiwa kikombe na babu
 
Sheikh wako Yahya jana alionekana usiku ndani ya ungo akivinjari Loliondo....karibu wamuuwe wananchi kwa kuwanga

Hahahaha usiniambie!! Nasikia katika huo ungo Ki--ete nae alikuwepo!!!!:hand:
 
Nimemjua Jey key ni Bi Sophia Simba nina vithibitisho lukuki!
 
Kwahivo Rev. Masanilo ameomba ban ili afike kwa Babu?
 
Back
Top Bottom