Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,298
- 3,060
Kosa lake litakuwa lipi?
Mkuu, si unajua nchi na utawala wa sheria ni kama mafuta na maji? Tutege tu masikio.
Kosa lake litakuwa lipi?
Kosa lake litakuwa lipi?
Wapuuzi kama nyie ndio mnaifikisha Nchi kubaya kwa kuwa viongozi walio madarakani wakisoma thread ya kichwa kama chako wanabweteka wakichukulia hivyo unavyowaza wewe.Magwanda ya kijeshi yanauzwa kila uchochoro wa mitumba! sasa gwanda hilo halinishangazi maana tangu turuhusu mitumba sio shida tena kujipatia gwanda la jeshi!
Narudia hii haijawahi tokea! vyovyote vile huyu ndio askari wa kwanza kwa majeshi yote kujilipua hivi!
Tumejaribu kuangalia ktk kumbukumbu zetu tumebaini kwamba hatuna mwanajeshi wa namna hiyo.Mwanajeshi mmoja ameamua kujitoa mhanga na yuko tayari kufukuzwa kwaajili ya CHADEMA maana amechoshwa na maisha magumu ya kwake binafsi na ndugu zake...
View attachment 76434
Lema, Nassari na mwanajeshi aliyeamua kusema yupo tayari kufukuzwa kwa ajili ya CDM LEO kwenye mkutano Mererani
Magwanda ya kijeshi yanauzwa kila uchochoro wa mitumba! sasa gwanda hilo halinishangazi maana tangu turuhusu mitumba sio shida tena kujipatia gwanda la jeshi!
Mtajipambambanua kwa njia nyingi lakini sawa na mwanaume asiye na kizazi ... Bado mtanunua hadi nguo za mgambo wa jiji,za manesi na madr alafu mpige nao picha.... Hata kwa macho tu mtoto mdogo anajua huyo kibaka tu kaokotwa mtaani kavalishwa nguo .
Hata hizo nguo zinapatikana hata kwenye maduka zinaendana na kombati.La kushangaza hakuna.Angejitaja jina hapo sawa.Siasa ndo hizo wazee.
Naona wewe umefanya kinyume...wenzio wanapulizaga kwanza kisha ndio wanang'ata.Wewe umeng'ata kwanza kisha ndio ukapuliza lol.Naona atangulie tu kujifukuzisha kazi mwenyewe kama yule mwenzake wa Morogoro....ILA Kuna ISHARA fulani imeonekana kwa serikali na chama cha magamba
Magwanda ya kijeshi yanauzwa kila uchochoro wa mitumba! sasa gwanda hilo halinishangazi maana tangu turuhusu mitumba sio shida tena kujipatia gwanda la jeshi!
...Kuna yule polisi aliyejilipua Dodoma wakati wa mkutano mkuu wa magamba naye vipi? aliporudi morogoro akawakabidhi makolokolo yao akala kona!..Narudia hii haijawahi tokea! vyovyote vile huyu ndio askari wa kwanza kwa majeshi yote kujilipua hivi!
kosa lake litakuwa lipi?
Tumejaribu kuangalia ktk kumbukumbu zetu tumebaini kwamba hatuna mwanajeshi wa namna hiyo.
Sasa tunajipanga kushitaki Lema kwa kosa la kumiliki uniform za jeshi uku akijua ni kosa kubwa kisheria.
By Mwamunyange.
Tumejaribu kuangalia ktk kumbukumbu zetu tumebaini kwamba hatuna mwanajeshi wa namna hiyo.
Sasa tunajipanga kushitaki Lema kwa kosa la kumiliki uniform za jeshi uku akijua ni kosa kubwa kisheria.
By Mwamunyange.