hakuna cha kujitolea hiyo ni kazi yao waliyoiomba na wanalipwa kwa ajili hiyoJeshi lolote lile Lina nidhamu zake hawezi Askari kuiga tu bila kuwa na sababu ambayo inakubalika na uongozi wake.
Waheshimu Jeshi letu, lolote lile, wanajitolea nafsi na maisha yao kutufanya sisi tulale salama.
Hata uwepo wako JF kwa kujinafas unawategemea hao hao walinda usalama wetu.
Ahsanteni sana vijana kwa kutulinda katika mazingira magumu. Msikatishwe tamaa na mapunguani wachache wasio na fikra.
Moja ya matunda ya kuwepo hilo jeshi ubalolidharau,ni wewe kuwa huru na amani hadi kuweza kuandika unachotaka humuhakuna cha usungu hapa hili jeshi liko kwa ajili ya hili lichama tu sI wengine tunajilinda. Mbona bado hawajawakamata vidume huko kibiti
Iwe mbwembwe, isiwe mbwembwe wewe imekuathiri nini. Fanya yako!usalama gani? Mbwembe tuu
View attachment 540844
Huyo askar kwenye picha bila shaka alifuatilia matukio ya kigaidi huko ufaransa kwenye tv na kuwaona makomandoo wa huko wakivaa kininja (balaclava) naye akapiga timingi matukio ya kibiti akaamua atoke hivyo. Utadhani kinyago.
View attachment 540842 View attachment 540843
Iga ufe!
Kuna askari wa aina nyingi, mfano wapo wengine hawatakiwi kujulikana kwa raia (Plain clothed) na wanaojulikana (Uniformed). Katika mazingira ambayo yatamuweka yule wa kujificha hadharani, basi ni lazima afiche utambulisho wake.sababu gani kama si kuiga? Nendeni zenu kule
Naunga mkono hojaKwa mtazamo wangu hakuvaa kifaa hicho kwa bahati mbaya.
Ni wazi alikuwa anaficha utambulisho wake, sababu inawezekana si mmoja wa hilo jeshi lililopo hapo eneo la tukio. Pengine yeye ni mwanajeshi wa jeshi la wananchi, inawezekana ni kiongozi mkubwa tu wa moja ya majeshi ya tz, au ni mfanyakazi wa idara ya serikali au taasisi binafsi -hapo kaenda kwa kazi maalum
View attachment 540844
Huyo askar kwenye picha bila shaka alifuatilia matukio ya kigaidi huko ufaransa kwenye tv na kuwaona makomandoo wa huko wakivaa kininja (balaclava) naye akapiga timingi matukio ya kibiti akaamua atoke hivyo. Utadhani kinyago.
View attachment 540842 View attachment 540843
Iga ufe!
Jeshi linamwambiaje mtu aondoke kazini?Mwangosi aliheshimu jeshi lilipomwambia aondoke?
Mh!View attachment 540844
Huyo askar kwenye picha bila shaka alifuatilia matukio ya kigaidi huko ufaransa kwenye tv na kuwaona makomandoo wa huko wakivaa kininja (balaclava) naye akapiga timingi matukio ya kibiti akaamua atoke hivyo. Utadhani kinyago.
View attachment 540842 View attachment 540843
Iga ufe!
Mimi sina mafunzo yoyote ya kijeshi lakini sidhani huyo wa kwanza kushoto kama kaishika hiyo silaha yake kwa utayari in case likitokea la kutokea kwa ghafla.View attachment 540844
Huyo askar kwenye picha bila shaka alifuatilia matukio ya kigaidi huko ufaransa kwenye tv na kuwaona makomandoo wa huko wakivaa kininja (balaclava) naye akapiga timingi matukio ya kibiti akaamua atoke hivyo. Utadhani kinyago.
View attachment 540842 View attachment 540843
Iga ufe!
pandikizi.Kwa mtazamo wangu hakuvaa kifaa hicho kwa bahati mbaya.