Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,842
- 31,075
Kuna baadhi ya sehemu maeneo ya Makete kwenye kipindi cha baridi kama hiki temperature huwa inafikia hadi minus 1-3 degree centigrade.Hiyo baridi huwa inafika nyuzi joto ngap huko?
Kwenye maeneo hayo ukiingia guest house lazima ukutane na blankets nzito kama 2 hivi na humo chumbani unakuta heater......
Hiyo kipande ya Njombe na Makete nishafika, hiyo baridi ya huko sijaona ya kuifananisha nayo hapa TZ.....