lemayan92
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 877
- 254
Well well well. Well saidnaipenda sana hii hali ya hewa, napenda sana baridi, kwa sisi tunajua kuvaa tunavaa nguo unayojskia unapendeza haswaaaa, maana baridi inachangia mtu kuvaa vizuri
Well well well. Well saidnaipenda sana hii hali ya hewa, napenda sana baridi, kwa sisi tunajua kuvaa tunavaa nguo unayojskia unapendeza haswaaaa, maana baridi inachangia mtu kuvaa vizuri
Wel said mkuunaipenda sana hii hali ya hewa, napenda sana baridi, kwa sisi tunajua kuvaa tunavaa nguo unayojskia unapendeza haswaaaa, maana baridi inachangia mtu kuvaa vizuri
mh sio "Bibie" ....Ni "Babu". hakuna jasho.au wewe unasemaje Bibie? hali ya baridi inachangia mtu kuvaa vizuri maana hakuna mambo ya joto wala jua.
Sijui nimekosea kukuelewa.Duh kipindi hiki ni cha upandaji nbegu kwa wingi
Baridi ikiwa kali sanaaaa.... hata utaratibu unasinyaaa kuliko hata saiz yake ya kawaida kulinda joto la asili kule kwenye eneo husika, kwa hio hata uwo mchezo hunakuwa huna ham nao kivileee.Mwezi ujao mwishoni malimao ndimu mbilimbi ubuyu na udongo vitapanda bei
Wala hujakoseaSijui nimekosea kukuelewa.
Ingekuwa ni kumichana tuu siku nzima..Yaani baridi ni kali kichizi, lakini kila mtu kavaa kuikabili yuko busy na shughuli zake, wale kina mama wa sokoni wamefunga mashuka kichwa kizima na majaketi ya nguvu wanapiga kazi kinoma, sipati picha kama Arusha ingekuwa ndio uzaromuni wazaramo kipindi cha baridi sidhani kama kuna shughuli ingefanyika
Njombe mjini nilikuwa huko wiki iliyopita , nikaenda hadi tukuyu kisha sumbawanga ..njombe baridi yke ni ya kawaida tu ...makete sijawahi fika ...makambako kuna baridi Kali kuliko njombe ...usifikiri nimeandika kwa kubahatisha
Unasema sio Arusha na hali pembeni kuna gari yenye namba za Tanzania?!
Sikujua kuwa Jiographia ya Kenya inafanana na nchi za Ulaya na Asia! angalia tena nilireply kwenye comment ambayo ilikuwa na ujumbe upi!Kwani Tanzania ni Arusha pekee?
Je gari zenye number za Tanzania haziwezi kwenda Kenya mfano?
Think globally mkuu...!
Wale watu noma ndio sababu wanashinda na kanga moja na msuli tu.Ingekuwa ni kumichana tuu siku nzima..
Mkuu baridi ya njombe ni hatari alafu full time mwaka mzimaMkuu hata loliondo ni shida
And act locallyKwani Tanzania ni Arusha pekee?
Je gari zenye number za Tanzania haziwezi kwenda Kenya mfano?
Think globally mkuu...!