datz
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 856
- 975
hahahahaha haya bana mchambuziyes hili venge nalisororea haswaa.
hahahahaha haya bana mchambuziyes hili venge nalisororea haswaa.
Hahaha iliko zaliwa!!Me najiuliza kama sahiz dar kuna barid huko ilikozaliwa itakuwaje?
kha!!noma sana aisee,sijui huko lushoto nako hali ikoje
Cc Andrew Nyerere.Nibiru imekaribia LOL
kaka kiiza hebu angalia vema hiyo picha. Hiyo gari namba zake na hayo mazingira. Naona kama ni ArushaHiyo picha ya Theruji si ya arusha acha uongo na mimi niliipost jana kwanza kwa baridi ya nyuzi joto 11c haiwezi kusababisha theruji.
Mwezi ujao mwishoni malimao ndimu mbilimbi ubuyu na udongo vitapanda bei
Njombe na Makete ndo shidaaaaaah!Baridi iliyoko mby , mafinga ni hakunaga aisee
🙂🙂🙂Tuache wenyewe ndio maana Mola ametupendelea hatuna baridi, unataka tushinde sokoni na mkole acheze nani?
kabisa "lengijave" ni neno la kimasai lenye maana ya "penye baridi" au ubaridini ni sawa tu na "Nairobi" yote yana maanisha kitu kimoja!Sina uhakika hiyo picha imepigwa wap lakini arusha barabara ya kwenda namanga kuna sehemu inaitwa lengijave ni kawaida sana kutengeneza ice namna hiyo kipindi kama hiki cha baridi
Una maana gani?Baridi ya Yesu.
Tunashindia,mihogo,chips,maharage,ng'ombe,ndizi na vyakula vyote vinavyotoka mkoani kwako.We unafikiri tungekuwa tunalima wale wakulima wa mkoani kwako waliopauka kwa vumbi na ngozi iliyokomaa wangepata wapi soko la mazao yao?Haahaa, chezeni kwa faida bana, sasa nyie mnaburudisha bure?! Halafu mnaendelea kushindia mihogo, kipaji hicho kitumieni vyema.
Lushoto pia nako bi baridi sana.Tanzania hamna sehemu yenye baridi kali kuzidi Makete na Njombe
Kumbe ulaya wana platenumber za Tanzania?Hiyo picha ya Theruji si ya arusha acha uongo na mimi niliipost jana kwanza kwa baridi ya nyuzi joto 11c haiwezi kusababisha theruji.