PICHA: Hali ya baridi mkoa wa Arusha inatisha

PICHA: Hali ya baridi mkoa wa Arusha inatisha

Kijana unajua maana ya temp kufika -1 hadi -3 si mchezo hapo hadi mapaa ya Nyumba yanakuwa yamefukiwa na barafu? Wakati mwingine msitoe mambo ya uongo
It is not true hiko unachosema.....

Baridi ya kufunika barafu kwenye mapaa it is not baridi chamtoto ya - 1 to - 3 centigrade, bali itakuwa more than - 10 degree centigrades

Hebu tembelea Kitulo ya Njombe siku moja utakiri nilichokuambia mimi kuwa ni kweli......
 
Hapa tz hamna baridi ya -3 labda huko mountain Kilimanjaro ,usifanye mchezo na - 3 ,sanasana labda uniambie centgrade 5 za huko makete,makambako,njombe,- 3 hadi - 5 babaa ni za Urusi na huko green island kwa waeskimo.
It is not true.

Hiyo baridi ya kwa waeskimo unayosema ni below - 10 degree centigrade...

Hiyo unayosema degree 3 hadi 5, hata pale Uyole pale Mbeya mjini wakati wa kiwinta cha msimu kama huu sometimes hua inafikia 2 degree centigrade.

Sembuse huko milima ya Kitulo ya Makete?

Believe me hiyo baridi ya Kitulo Makete sidhani kama waweza ifananisha na baridi nyingine yoyote hapa nchini, except kwenye kilele cha Kibo ya Mount Kilimanjaro ambako ndiyo funga kazi.....
 
naipenda sana hii hali ya hewa, napenda sana baridi, kwa sisi tunajua kuvaa tunavaa nguo unayojskia unapendeza haswaaaa, maana baridi inachangia mtu kuvaa vizuri
Oooh yaaah
 
Hiyo picha ya Theruji si ya arusha acha uongo na mimi niliipost jana kwanza kwa baridi ya nyuzi joto 11c haiwezi kusababisha theruji.
Hakuna theluji Arusha labda mlima meru
 
We jidanganye kuna barid zingine hata kuvaa huelew uvae nini? Hujawah kutana na barid binti labda vibarid
Hafahamu baridi, maana naona mnadiscuss baridi ya degree 11, 7, 24, hujakaa mahali kuna minus 1 au o ndio utajua kuvaa kunakuwaje kukiwa na baridi, hapa ni hali ya hewa nzuri tu
 
naipenda sana hii hali ya hewa, napenda sana baridi, kwa sisi tunajua kuvaa tunavaa nguo unayojskia unapendeza haswaaaa, maana baridi inachangia mtu kuvaa vizuri
Kujaza manguo unaonekana kama mti
 
naipenda sana hii hali ya hewa, napenda sana baridi, kwa sisi tunajua kuvaa tunavaa nguo unayojskia unapendeza haswaaaa, maana baridi inachangia mtu kuvaa vizuri
[emoji106]
 
Back
Top Bottom