PICHA: Hali ya baridi mkoa wa Arusha inatisha

njombe ukumngu unatoka saa kumi kudadek ya jioniiiii weee wacha kbs shikamooo njombee
 
Yaani baridi ni kali kichizi, lakini kila mtu kavaa kuikabili yuko busy na shughuli zake, wale kina mama wa sokoni wamefunga mashuka kichwa kizima na majaketi ya nguvu wanapiga kazi kinoma, sipati picha kama Arusha ingekuwa ndio uzaromuni wazaramo kipindi cha baridi sidhani kama kuna shughuli ingefanyika
 
Tuache wenyewe ndio maana Mola ametupendelea hatuna baridi, unataka tushinde sokoni na mkole acheze nani?
 
Namtuacheeeee aaahaaaaaa
 
Hiyo picha ya Theruji si ya arusha acha uongo na mimi niliipost jana kwanza kwa baridi ya nyuzi joto 11c haiwezi kusababisha theruji.
Sina uhakika hiyo picha imepigwa wap lakini arusha barabara ya kwenda namanga kuna sehemu inaitwa lengijave ni kawaida sana kutengeneza ice namna hiyo kipindi kama hiki cha baridi
 
Yaani baridi ni kali kichizi, lakini kila mtu kavaa kuikabili yuko busy na shughuli zake, wale kina mama wa sokoni wamefunga mashuka kichwa kizima na majaketi ya nguvu wanapiga kazi kinoma, sipati picha kama Arusha ingekuwa ndio uzaromuni wazaramo kipindi cha baridi sidhani kama kuna shughuli ingefanyika
Cha ajabu wakuja wote wananunua viwanja Uzaramuni na kututusi wenyeji wao.
 
hivi hii baridi haiwezi kuathiri hali ya mvua???wajuzi tusaidiane ili tujue
 
Tuache wenyewe ndio maana Mola ametupendelea hatuna baridi, unataka tushinde sokoni na mkole acheze nani?
Haahaa, chezeni kwa faida bana, sasa nyie mnaburudisha bure?! Halafu mnaendelea kushindia mihogo, kipaji hicho kitumieni vyema.
 
Kwani mihogo sio chakula? Nyinyi kwenu mnashindia nini ?
 
Haahaa, chezeni kwa faida bana, sasa nyie mnaburudisha bure?! Halafu mnaendelea kushindia mihogo, kipaji hicho kitumieni vyema.
Faida si watoto wetu wanajua kupika, kutunza mume, na kulea familia. Si hao wakwenu mke akipika mchuzi limao liko upande wake, chumvi kwake. Tunaendeleza jadi.
 
Kila kitu wanajifunza shule, au umesahau kuna vyuo vya kufundishana kupika?!
 
Huko shule ndiko mkafundishwa kupika na mengineyo, huyo anaekufundisha kupika shule mwenyewe ndoa imemshinda.
 
Back
Top Bottom