Afyayaakili
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 936
- 1,302
Kuna Kibosho chini ya mlima Kilimanjaro, maeneo ya umbwe, manushi, lyamungo na kwingineko baridi inapiga wiki nzima ni Ukungu nilikuwa najua Mbeya na Mafinga nilipowahi kuishi ndio kuna baridi kali ilinilivyohamia maeneo hayo ya Kibosho ndio nilikubari aisee masna wiki nzima ni ukungu unakaa wiki nzima hata kilele cha mlima Kilimanjaro hukioni.