PICHA: Hali ya baridi mkoa wa Arusha inatisha

PICHA: Hali ya baridi mkoa wa Arusha inatisha

wataalam wa jiografia nisaidieni,11°C inaweza kuleta barafu kweli?
Kana hajakaa Arusha ni ngumu kuamini nakumbuka kipindi hiki huoni hatua mbili mbele kuna nini bila msaada wa vitu vya marekani ni ukungu umekufunika na hapo ni saa sita mchana.

Ukipigwa fimbo moja na mwalimu lazima uimbe hallelujah!!!
 
niwe mkweli tu mkuu,sina uhakika kama nyuzi hizo za joto zinaweza kuleta barafu,nangoja wataalam waje kuthibitisha
 
Sasa ni kitu gani kinafanya msiamini hapo Arusha? Watu wa style hii hua wana maisha magumu sana.
kabisa "lengijave" ni neno la kimasai lenye maana ya "penye baridi" au ubaridini ni sawa tu na "Nairobi" yote yana maanisha kitu kimoja!
 
kabisa "lengijave" ni neno la kimasai lenye maana ya "penye baridi" au ubaridini ni sawa tu na "Nairobi" yote yana maanisha kitu kimoja!
Dah umenikumbusha pia Arusha kuna sehemu panaitwa NgareNairobi hili eneo nalo ni balaaa.
 
Kama dar Kuna ka ubaridi huko mikoani si balaaa
 
Dah umenikumbusha pia Arusha kuna sehemu panaitwa NgareNairobi hili eneo nalo ni balaaa.
je wajua ukiitafsiri kwa kiswahili itamaanisha nini,?
"ngare" - maji
"nairobi" -baridi

ngarenairobi -majibaridi

haha inaonyesha hilo eneo si mchezo!
 
je wajua ukiitafsiri kwa kiswahili itamaanisha nini,?
"ngare" - maji
"nairobi" -baridi

ngarenairobi -majibaridi

haha inaonyesha hilo eneo si mchezo!
Hahahaa hapo nimekubali sababu hiyo ni kweli kabisa alafu naona kuna connections kubwa za jamii ya Arusha na ya huko Kenya.
 
naipenda sana hii hali ya hewa, napenda sana baridi, kwa sisi tunajua kuvaa tunavaa nguo unayojskia unapendeza haswaaaa, maana baridi inachangia mtu kuvaa vizuri
iyee! mi pia naipenda sana baridi!
 
1469009149687.jpg
1469009173932.jpg
1469009188672.jpg

Arusha baridi ni hatari
 
Hakuna sehem kuna baridi Tanzania hii Kama ngorongoro Arusha .... Acheni kabisa msiambiwe
Kuna sehemu inaitwa kimba ni nooma haiko mbali na makao makuu ya hifadhi
 
Back
Top Bottom