PICHA: Hali ya baridi mkoa wa Arusha inatisha

PICHA: Hali ya baridi mkoa wa Arusha inatisha

kamwene, mapembelo...nilienda siku njombe niliugua kabisa asee lile sio baridi hatari sana hapo naambiwa sio msimu wake wa baridi lenyewe,adi mifupa inakakamaa husogezi mkono wa mguu,maji sishiki siku mbili no kuoga,chai unakunywa toka kwenye chungu jikoni nilihairisha safari!! baridi la uko halivumiliki
 
Back
Top Bottom