Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,172
- 45,892
Gari la serikali ni kwa ajili ya kutekeleza majukumu ya serikali.
Hata ukimbeba mwanao kumpitisha shule wakati unaelekea kazini likitokea la kutokea ujue imekula kwako.
Watu wengi wenye kupenda umwinyi hutumia magari ya serikali kinyume na muongozo wa utumishi.
Hapo atakuwa njiani kutoka Bar kulewa anamwambia dereva awashe taa za tahadhari kumbe ndani kuna mlevi flani tu
acha kupotosha,kuna baadhi ya gari ni kwa ajili ya matumizi ya viongozi yani gari impeleke kazini na kila sehemu anapoenda (sio kulewa). kwa mfano jk wakati anaenda likizo alikuwa anaenda kwao na gari za serikali