mbeya kwa uchawi
rip mkaka
sipati picha ma ex zake?
Aaahaa aiseeeee daaaaaahaa fikra zako ziko karibu sana kujudge
mbeya kwa uchawi
rip mkaka
sipati picha ma ex zake?
Poleni sana!TUMEMZIKA JANA. ALIKUWA AKITOKEA DAR. HARUS ILIKUWA IWE TAREHE 23/6/2016 BADALA YAKE SIKU ILIYOPANGWA KUWA SIKU YA NDOANDIO IKAWA SIKU YA MAZISHI YAKE.
TUMUOMBE SANA MUNGU SANA KWA MAANA HATUJUI SIKU WALA SAA.
MUNGU ALITOA NA MUNGU AMETWAA. JINA LA MUNGU LIHIMIDIWE.
AMINA
TUMEMZIKA JANA. ALIKUWA AKITOKEA DAR. HARUS ILIKUWA IWE TAREHE 23/6/2016 BADALA YAKE SIKU ILIYOPANGWA KUWA SIKU YA NDOANDIO IKAWA SIKU YA MAZISHI YAKE.
TUMUOMBE SANA MUNGU SANA KWA MAANA HATUJUI SIKU WALA SAA.
MUNGU ALITOA NA MUNGU AMETWAA. JINA LA MUNGU LIHIMIDIWE.
AMINA
Huyo bi harusi mtarajiwa ukimwangali ni kama mama kijacho vile!!!????Ameacha mjane mrembo..dah anyway R.I.P
Hapa kinachotatanisha ni kipi?!! Ukiwa bwana harusi mtarajiwa kifo kinaahirishwa au?Kuna baadhi ya vitu vinatatanisha na kutatiza sana katika maisha
Kuna wimbo wa Emmanuel Mgogo "Itakuwaje" cheki video yake. Ya Mungu mengi.Huyo mwanaume amekufa kwa ajali ya gari Makambako, alikuwa anatoka Mbeya kwenye send off ya mkewe mtarajiwa na ndoa ilitakiwa ifungwe Jumamosi hii St. Joseph Dar es Salaam.
View attachment 359662
Sent as received!
Jirani mambo..Pole sana kwa bi harusi.
R.I.P bwana harusi mtarajiwa.!
Sagi jirani za tunduma.Jirani mambo..
Tunduma Rahaaaa, tunamshukuru Mungu bado tunaishiSagi jirani za tunduma.
Heee!Kwani kudrive hadi umalize chuo?Au kujua kudrive ni hadi umiliki gari lako?Anyway!RIP marehemu pole nyingi sana kwa wafiwa.Amemaliza chuo 2012 lets say baada ya kufanya kazi miaka 3 amenunua gari 2015 hapo amejifunza kudrive...2016 unadrive kutoka dar to mbeya ...jumatano send off unakesha siku nzima + hangover kesho yake unaanza safari....
Huyo mwanaume amekufa kwa ajali ya gari Makambako, alikuwa anatoka Mbeya kwenye send off ya mkewe mtarajiwa na ndoa ilitakiwa ifungwe Jumamosi hii St. Joseph Dar es Salaam.
View attachment 359662
Sent as received!