Picha: Bwana harusi afariki ajalini akitoka katika sherehe ya send-off

Picha: Bwana harusi afariki ajalini akitoka katika sherehe ya send-off

Jamani ni vizuri tukaamini kuwa hiyo ni kazi ya Mola kuamini uchawi bila haisaidii kitu. Pole bibi harusi na ndugu wote walioguswa
 
Mchumba alimpenda ila Mungu kampenda ZAIDI
Not True ' kuwa Mungu amempenda zaidi' ina maana Mungu akimpenda mtu anaumuua? tafuta maneno mengine ya kufariji kuliko kutumia Jina la Mungu kuwa anwapenda watu ana hivyo kuwaua!!
 
Usikute msendoff alishaanza vichefuchefu ikabidi wachapulize mchakato wa ndoa!!!

RIP
 
Dah pole sana wafiwa hasa mjane,
Mungu atakujalia upate bwana mwingine,

Maliza kwanza msiba salama.
 
Not True ' kuwa Mungu amempenda zaidi' ina maana Mungu akimpenda mtu anaumuua? tafuta maneno mengine ya kufariji kuliko kutumia Jina la Mungu kuwa anwapenda watu ana hivyo kuwaua!!
Tafuta tafuta maandiko usome ili upate kupambanua, kwa maana unabishana kwa ubongo mdogo.

Kwa maana imeandikwa "Hakuna mwanadamu atakayeuona uso wa Mungu akaishi"
 
mie lugh yangu ya upole tu kuwa tuwe na maneno mengine ya kufariji. sio kusema Tulimpenda lakini Mungu kampenda zaidi. interpretation yake simple ni kuwa Mungu akimpenda mtu basi mtu huyo hufa!! wapi imeandikwa?
 
B
Huyo mwanaume amekufa kwa ajali ya gari Makambako, alikuwa anatoka Mbeya kwenye send off ya mkewe mtarajiwa na ndoa ilitakiwa ifungwe Jumamosi hii St. Joseph Dar es Salaam.

View attachment 359662

Sent as received!
Kwenye suala la kuelekea ndoa kunakuwaga na magumu/majaribu/mitihani sana sana...
Manake shet'ani hapendi....
Giza na nuksi hutawala.
Magomvi yasokuwa na kichwa maguu pia
 
Huu uzi haujakaa sawa,taarifa za mwanzo zilisema alitokea dar kwenye send off na arusi ni mbeya,leo uzi unasema alitokea mbeya arusi ni dar!Mungu awafariji ndugu jamaa na marafiki wote,pole kwa Bibi arusi aliyeachwa!
 
pole wafiwa,hakuwa wake aliepangiwa huyo,mungu ni Mkuu.rip
 
R.i.p bibi harusi naona kama mjamzito sijui ana hali gani kwa sasa pole sana
 
Back
Top Bottom