Picha: Bwana harusi afariki ajalini akitoka katika sherehe ya send-off

Picha: Bwana harusi afariki ajalini akitoka katika sherehe ya send-off

Semeni yoote mizaha na salamu za rambirambi ila wenye maumivu yasiyoponyeka haraka hapa ni wazazi wa huyu marehemu. Wa pili ni bibi harusi mtarajiwa. ....... Japo huyu jeraha lake litapona kutokana na upendo aliokuwa nao kwa marehemu. Kama ilikuwa ni upendo ili avae shela basi muda si mrefu penzi la marehemu kwake litazibika kwa kuwa na mpenzi mpya.

RIP marehemu, pole kwa wafiwa wote.

The only path everyone will pass... no way to escape though there are others who cheat death.

Sad story.
 
Heee!Kwani kudrive hadi umalize chuo?Au kujua kudrive ni hadi umiliki gari lako?Anyway!RIP marehemu pole nyingi sana kwa wafiwa.
hiyo ni assumption safari ndefu inahitaji uzoefu wa muda mrefu safarivya dar mbeya ni ndefu sana tena kwa mtu aliekesha kwenye sherehe yake ni risk sana...labda kwa nunda kama wewe ambae hujawahi kudrive safari ndefu huwez kujua
 
ajali inasababishwa na shetani siyo na Mungu, Mungu amtie nguvu huyo dada aombe sana ts so sad barabara ya mbeya ina maroho ya ajali inabidi kuomba sana
 
hiyo ni assumption safari ndefu inahitaji uzoefu wa muda mrefu safarivya dar mbeya ni ndefu sana tena kwa mtu aliekesha kwenye sherehe yake ni risk sana...labda kwa nunda kama wewe ambae hujawahi kudrive safari ndefu huwez kujua
Daaah!Haya bana............
 
Dah! It really pains

Hapa tunaongea tu.... Lakini tukivaa viatu vya huyo dada it is not easy, it is unbearable
 
kuna watu watadai michango yao ya harusi irudishwe........rip bwana harusi mtarajiwa
 
Back
Top Bottom