Picha: Bwana harusi afariki ajalini akitoka katika sherehe ya send-off

Picha: Bwana harusi afariki ajalini akitoka katika sherehe ya send-off

Majonzi makubwa sana kwa huyo dada... Ataumia kuliko hata wenye mtoto
 
Daah! Felister niliwah fanya nae tempo some where n she z pregnant now, too sad.
Mungu awape wepesi wafiwa wote, hakuna jarbu lisilo na njia ya kutokea. RIP bro
 
Amemaliza chuo 2012 lets say baada ya kufanya kazi miaka 3 amenunua gari 2015 hapo amejifunza kudrive...2016 unadrive kutoka dar to mbeya ...jumatano send off unakesha siku nzima + hangover kesho yake unaanza safari....
gari hakuendesha yy
 
Duh inauma sana aisee bibi harusi mtarajiwa sijui atakuwa kwenye hali gani ?
Usimuangalie b harusi wakati ,, atapata mwngne na pengne kumsahau kabisa ' mi binafsi namskitikia Brother kwa kupata janga hilo baya
 
wakati mwingine dunia ina mambo yenye maswali mengi kuliko majibu. R.I.P Gesson
 
Kumbe mnaoamini nguvu za giza mpo wengi
mkuu kungekuwa hakuna nguvu za giza basi vitabu vitakatifu visinge Elezea madhara ya nguvu za giza kaka.

Kama wewe uhamini basi Mungu Amesema kwamba uchawi upo na Mungu pia yupo na Mungu Haudharau Wala kuupuuzia uchawi ila Ametuhaadharisha kwamba upo.

Kinga yake ni kuwa Mtakatifu na kumtegemea Mungu Katika Maisha yako.

Yawezekana hapo kwenye kasend of. Alikuwepo Mchawi. Akampigia Ndugu mahesabu makali.
 
Ningekuwa Mwalimu wako ningekukomesha Na uviv wako wa kusoma.
Amesema mke alipanda pipa(ndege) halafu mume mtarajiwa akawa ana drive.

So ,ajali ni ya ndege hiyo kiongozi.
Haaa haa haa
 
alikuwa anataka kuoa mapema sana miaka 27 tu wakati watu tunakimbiza 38 hata dalili hakuna tunaendelea kuosha rungu mtaani.
 
Back
Top Bottom