Picha: Bwana harusi afariki ajalini akitoka katika sherehe ya send-off

Picha: Bwana harusi afariki ajalini akitoka katika sherehe ya send-off

R.i.p Mungu awatie nguvu na kuwafanyia wepesi bibi harus mtarajiwa na ndugu wa marehem
 
Wacha mungu aitwe mungu
Bila shaka yeye anajua hekima ya jambo hili
 
Not True ' kuwa Mungu amempenda zaidi' ina maana Mungu akimpenda mtu anaumuua? tafuta maneno mengine ya kufariji kuliko kutumia Jina la Mungu kuwa anwapenda watu ana hivyo kuwaua!!

Wew unadhani utaenda mbinguni kwa motokaa, hiyo ndio njia mkuu
 
Huyo mwanaume amekufa kwa ajali ya gari Makambako, alikuwa anatoka Mbeya kwenye send off ya mkewe mtarajiwa na ndoa ilitakiwa ifungwe Jumamosi hii St. Joseph Dar es Salaam.

View attachment 359662

Sent as received!
Ndoa ilikua ifungwe Mbeya na sio Dar es salaam.Nakusahihisha kama Kaka wa marehemu.
 
R.I.P ila sijabahatika ona picha za ajali
 
Mh... picha limeisha kabla halijaanza!
kweli kiso ridhiki hakiliki
 
Duu, si mchezo, ila bado ataendelea kuwa bibi harusi mtarajiwa.
 
"kifo hakina huruma"-Late Remmy Ongala, R.I.P Bridegroom
 
Oh masikini! Bi harusi anakuwa mjane hata kabla ya kuolewa! Pole sana bi harusi mtarajiwa, wazazi, ndugu, jamaa na marafiki. R.I. P Bwana harusi mtarajiwa
 
Mjane kivipi wakati harusi haijafungwa?
Harusi ni mambo ya kibinadamu yaani sherehe lakini wao walishafunga ndoa mioyoni mwao kwa kunuia kuishi pamoja kama mume na mke. Mengine haya ya kwenda kuapa sijui kufanya nini kama kwenda ukumbini ni show tu kwa wanadamu kile kilichomo mioyoni mwao
 
Pole Bi harusi mtarajiwa itabidi harusi iendelee kama kawaida upande wa Bwana harusi mtarajiwa watoe kidume kingine cha kuziba nafasi mahari isiende bureeee.
 
Back
Top Bottom