Picha: Bwana harusi afariki ajalini akitoka katika sherehe ya send-off

Picha: Bwana harusi afariki ajalini akitoka katika sherehe ya send-off

Kuna watu ukiwa na mahusiano nao unakufa.

RIP.
 
Lazima niwaendee kwa babu hao wazee aisee! Haiwezekani!
 
very sad! ningekuwa mimi sijui ingekuwaje.
pole kwa aliyekuwa bibi halusi mtalajiwa
 
Mungu amekataza katika amri zake kuwa Husiuwe..
Hivyo hata yeye Mungu hauwi bali anatwaa au ananyakuwa ili ukamraki mawinguni. Hivyo mtarajiwa amenyakuliwa akamlaki Mungu mawinguni.
 
TUMEMZIKA JANA. ALIKUWA AKITOKEA DAR. HARUS ILIKUWA IWE TAREHE 23/6/2016 BADALA YAKE SIKU ILIYOPANGWA KUWA SIKU YA NDOANDIO IKAWA SIKU YA MAZISHI YAKE.

TUMUOMBE SANA MUNGU SANA KWA MAANA HATUJUI SIKU WALA SAA.

MUNGU ALITOA NA MUNGU AMETWAA. JINA LA MUNGU LIHIMIDIWE.

AMINA
 
Back
Top Bottom