Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 5,009
- 9,209
Either way, point ya msingi ni kuwa maisha ya mwanadamu hayatabiriki. Hatujui siku wala saaHuu uzi haujakaa sawa,taarifa za mwanzo zilisema alitokea dar kwenye send off na arusi ni mbeya,leo uzi unasema alitokea mbeya arusi ni dar!Mungu awafariji ndugu jamaa na marafiki wote,pole kwa Bibi arusi aliyeachwa!