Picha: Bwana harusi afariki ajalini akitoka katika sherehe ya send-off

Picha: Bwana harusi afariki ajalini akitoka katika sherehe ya send-off

Mungu amekataza katika amri zake kuwa Husiuwe..
Hivyo hata yeye Mungu hauwi bali anatwaa au ananyakuwa ili ukamraki mawinguni. Hivyo mtarajiwa amenyakuliwa akamlaki Mungu mawinguni.
Hujui maandiko. Acha upotofu. Kwanza nini maana ya HUSIUWE?
 
Jamaa kitaaluma alikuwa teacher,mchumba wake akifanya kazi halmashauri ya Wilaya ya Kibaha..kaacha mtoto mmoja wa kiume Mungu akimjaalia aliyekuwa mchumba'ake atajifungua mtoto wa pili.hii nikulingana na status zao Facebook.Rip Gesson.
 
Kumbe mnaoamini nguvu za giza mpo wengi

Mwaka 2014 BBC ilifanya "research" kuwa Watanzania wengi ni washirikina (wanaomini na kushiriki kwenye vitendo vya kichawi) watu wakajaa hasira na kubisha kuwa si kweli, lakini hizi post hapa zinaonyesha tofauti.
 
Mambo ya Harusi yanahitaji maombi sana maana yanaambatana na mikosi. Mungubampe faraja bibi harusi aliyetarajiwa na ampumzishe kwa Amani marehemu.
 
Dah ... inasikitisha na kuogofya... unaweza mkosea Mungu wako bure.

mshana jr .... tumuachie Mungu tu... !!?

pole sana were Dada Felister Ngowi.
 
Pole ziwafikie hao ndugu ,Mungu awape moyo wa kuubeba huu msiba hasa wazazi na bi harusi mtarajiwa.
 
Maskini pole bibi harusi, na mtoto mtarajiwa maana bi dada tayari mja mzito, maskini mtoto kakosa baba hata haja muona! Mungu muweza wa yote awajtie nguvu.
 
Amemaliza chuo 2012 lets say baada ya kufanya kazi miaka 3 amenunua gari 2015 hapo amejifunza kudrive...2016 unadrive kutoka dar to mbeya ...jumatano send off unakesha siku nzima + hangover kesho yake unaanza safari....
Narrow thinking, nimedrive Landover 109 Dar Mbeya nikiwa form two.
Ile ni ajali over
 
R.I.P brother, kweli tungekuwa tunaijua kesho yetu hata tusingehangaika sana na haya maisha.
 
R.I.P brother, kweli tungekuwa tunaijua kesho yetu hata tusingehangaika sana na haya maisha.
Marehemu aliwahi kupost hivi Facebook
uploadfromtaptalk1466865786783.jpeg
inatafakarisha sana kwa binadamu tunaopumua bado.
 
Back
Top Bottom