Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,269
- 675
Hii imenisikitisha sana kuona mtu mzima anafanya mambo
ya kuchakachua picha makusidi sijui ni kwa manufaa ya nani
Ombi kwa Michuzi na Nnauye Jr
1. Ili niweze kuamini Picha yenu leta picha nyingine tofauti na hii
ambayo imepigwa tokea upande mwingine, Kwanini mmeleta picha
moja ya uwanani?
2. Hii picha haina uhalisia na tukio zima BENDERA YA TAIFA ILIKUWA INATAFUTA NINI?
UTOFAUTI WA PICHA NA MATUKIO
1. Picha moja inaonesha SIMTANK kwa nyuma lakini Picha ya michuzi haina SIMTANK
2.Picha ya michuzi ina jukwaa kwa nyuma ambavyo kwa picha nyingine iliyopigwa na mwanaccm wa JF
haina JUKWAA KWA NYUMA
3. Picha ya michuzi haioneshi magari yaliyoleta watu kwenye mkutano sijui yamemezwa na watu au watu
wamekuwa wengi mpaka wameyafunika
4. Hivi inakuwaje Picha ya michuzi inashidwa kuonesha nyumba zilizopakana na uwanja au ni mambo ya positioning
katika kuchukua picha
Hii thread itafugwa (Nakala kwa Fang) kama atatokea mwanaJF atakayeleta side pic ambayo inaendana na picha ya michuzi
mimi ndo nitaamini kuwa picha ya michuzi ni ya kweli
Kama haitapatikana basi PICHA ZOTE AMBAZO ZIKO KWA MICHUZI ZIMECHAKACHULIWA
Natoa NAKALA kwa wana CCM wenzangu walete PICHA Nnauye Jr, W. J. Malecela, zomba, ETC