PICHA ARUSHA: CCM na Uchakachuzi wa picha mmekamatika

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,270
675
Hii imenisikitisha sana kuona mtu mzima anafanya mambo
ya kuchakachua picha makusidi sijui ni kwa manufaa ya nani

Ombi kwa Michuzi na Nnauye Jr

1. Ili niweze kuamini Picha yenu leta picha nyingine tofauti na hii
ambayo imepigwa tokea upande mwingine, Kwanini mmeleta picha
moja ya uwanani?

2. Hii picha haina uhalisia na tukio zima BENDERA YA TAIFA ILIKUWA INATAFUTA NINI?


UTOFAUTI WA PICHA NA MATUKIO

1. Picha moja inaonesha SIMTANK kwa nyuma lakini Picha ya michuzi haina SIMTANK

2.Picha ya michuzi ina jukwaa kwa nyuma ambavyo kwa picha nyingine iliyopigwa na mwanaccm wa JF
haina JUKWAA KWA NYUMA

3. Picha ya michuzi haioneshi magari yaliyoleta watu kwenye mkutano sijui yamemezwa na watu au watu
wamekuwa wengi mpaka wameyafunika

4. Hivi inakuwaje Picha ya michuzi inashidwa kuonesha nyumba zilizopakana na uwanja au ni mambo ya positioning
katika kuchukua picha


Hii thread itafugwa (Nakala kwa Fang) kama atatokea mwanaJF atakayeleta side pic ambayo inaendana na picha ya michuzi
mimi ndo nitaamini kuwa picha ya michuzi ni ya kweli

Kama haitapatikana basi PICHA ZOTE AMBAZO ZIKO KWA MICHUZI ZIMECHAKACHULIWA

Natoa NAKALA kwa wana CCM wenzangu walete PICHA Nnauye Jr, W. J. Malecela, zomba, ETC
 
Huu ni uzushi nenda kwenye siredi kinana airudisha arusha,akubalika asilimia miamoja.kuna picha utakavyo.
 
Mmekutana waongo na wazushi wenyewe kwa wenyewe basi mnadanganyana kwa kwenda mbele
 
Aibu kwako michuzi, ripota waccm leo kakili kua mmekwisha saa we unachakachua picha ili iweje?

hakuna repota wa ccm aliekiri hivyo, huyo ni nyidiem amejifanya kuleta habari za umbea hapa,nenda hapa kinana airejesha arusha,akubalika asilimia miamoja ndo utaujua ukweli.
 
CCM ni kama wadudu fulani wanaopenda kucheza mchezo unaorudiarudia bila kuwa bored.Issue inakuja wanavyotaka wa involve na wengine wacheze this boring game repeatedly.

Yupo mwehu mmoja humu ndani aliwahi piga picture ya mbele kabisa ktk mkutano wa Tabata amabo watu walikuwa wamerudi ktk ivuli.Ila akasahau kuwa vivuli vilimsaliti pamoja na jua liliokuwa ikpiga.Lengo ni kuonyesha kuwa CDM haikuwa na mtu ktk mkutano.
 
Aibu kwako michuzi, ripota waccm leo kakili kua mmekwisha saa we unachakachua picha ili iweje?

ni uvivu wa kufikiri tunayoijua Arusha hapo aliposimama Kinana ni mahali pakukimbila wanatoadha kali Face jukwaa A na jukwa B na Jukwa C na nyuma ya hayo majukwaa ni makaburi ya zamani nyumba hamna.....hii CHADOMO imekula kwenu achen POROJO kama za Babu yenu....Nginja nginja hiyo imeanza
 
Mleta mada na picha

Mbona ukichunguza hizo picha niza sehemu hiyohiyo.

Tatizo kuu ni kuangalia au kusoma kilichoko kwa jicho moja na matokeo yake hata ukweli unaupita kwa sababu mawazo yako yanafikiria kupata uongo badala ya uhalisia wa kilichoko.

Wewe ndiyo unaonekana kama hekima imekupita kidogo kwa kutupa wrong conclusion with wrong judgment.

Yeah, you seem to be CCM in words to satisfy those fools
 
- Baada ya kushindwa uchaguzi kila mara ungetegemea kuwa sasa mmeamuka lakini wapi, mpaka leo hamjajifunza kwamba kujaa kwa wananchi kwenye mikutano sio kuwapa kura nyingi za urais, hivi hilo lichama mna nini hasa? Mbona mna shida sana kuelewa!!

LE Mutuz!!
 
- Baada ya kushindwa uchaguzi kila mara ungetegemea kuwa sasa mmeamuka lakini wapi, mpaka leo hamjajifunza kwamba kujaa kwa wananchi kwenye mikutano sio kuwapa kura nyingi za urais, hivi hilo lichama mna nini hasa? Mbona mna shida sana kuelewa!!

LE Mutuz!!
ndiyo wingi wa watu mikutanoni sio kukubalika kwa mwanasiasa ila juwa asilimia 80 ya wanafunzi na vijana wapo chadema.... na mwaka 2015 hawatafanya makosa kutoshiriki uchaguzi mkuu hivyo tegemea maumivu mkuu...wazeee wengi wa ccm watakuwa wameshachoka mbaya hata kwenda vituoni wataogopa maana ni lazima 2015 mabadiliko yatokee, either kwa nguvu ama la...ila tunaomba mungu nyie ccm mkubali tu kushindwa ili vurugu zisitokeeee, otherwise hatukubali mwaka 2015..mkuu tunahitaji ukombozi....karibu chama makini, karibu CHADEMA...
 
Watu hawana muda wa kwenda Michuzi blog kuperuzi mapicha yote yanayobandikwa kule kila siku, mbali zaidi, yale yaliyojaa kijani ya CCM, ambayo nadhani 99.9% wana-avoid kama HIV.

Weka picha halisi na zile za Michuzi unazodai zimechakachuliwa zitathminiwe.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom