PICHA ARUSHA: CCM na Uchakachuzi wa picha mmekamatika

Mkuu haina haja ya kutokwa na mapovu,kumbuka hapa Tanzania kuna utani wa makabila.Kwa mfano wagogo ni watani wa wazaramo,wakwele,wasukuma,wanyamwezi na makabila mengine mbalimbali.Hivyo inawezekana jamaa aliingiza na utani wa makabila!!!

Mkuu,

Siwezi kutokwa na povu kwa ignorance and stupid comments.

Hebu tujaribu kuwa wakweli angalau hata kidogo.

Hivi hilo bandiko lake lina hata nusu ya utani. Hata utani una mipaka yake.

Kama ni hivyo, kwa nini hajasema yeye ni kabila gani kabla ya kuingiza huo utani unaombatana na matusi kwenye mada.

Anyway, tukubaliane kutokubaliana
 
- Baada ya kushindwa uchaguzi kila mara ungetegemea kuwa sasa mmeamuka lakini wapi, mpaka leo hamjajifunza kwamba kujaa kwa wananchi kwenye mikutano sio kuwapa kura nyingi za urais, hivi hilo lichama mna nini hasa? Mbona mna shida sana kuelewa!!

LE Mutuz!!

we kijana kikongwe,ccm ilikuwa inanufaika na ujinga wa watu na tume yao,daftari la wapiga kura lilitumia lile la zamani.
kwa taarifa yako uchaguzi wa 2015 kutakuwa na wapiga kura kama 20 milioni na kama tutapata tume huru ndipo utakapojua nini maana ya kukubalika.
ccm ina wanachama milioni 5 imepata kura ambazo si zaidi sana ya hao wanachama wao katika nchi yenye watu zaidi ya milioni 40.

naomba kuuliza 2015 utajuwa na umri gani.
 
- Baada ya kushindwa uchaguzi kila mara ungetegemea kuwa sasa mmeamuka lakini wapi, mpaka leo hamjajifunza kwamba kujaa kwa wananchi kwenye mikutano sio kuwapa kura nyingi za urais, hivi hilo lichama mna nini hasa? Mbona mna shida sana kuelewa!!

LE Mutuz!!

Hivi kweli kwa mtu mwenye fikra Hao viongozi ni nini wanachoenda kufanya huko kwa wananchi, mi kwa mtazamo wangu wanaenda kuuza sura kwa sababu CCM ipo madarakani na inachotakiwa ni kutekeleza ahadi ilizohaidi wakati inaingia madarakani hivyo ilikuwa ni kazi ya Mawaziri kutembelea utekelezaji wa ahadi hizo na kuona ufanisi na mapungufu yaliyopo na kama bado wajipange kwa utekelezaji. Hao viongozi wa Chama huko wataleta mtafaruku na watendaji wa serikali na mwisho wa siku mtaanza kuwachukia watendaji kwani wote sio washabiki au wanachama wa chama chemu.
 
- Baada ya kushindwa uchaguzi kila mara ungetegemea kuwa sasa mmeamuka lakini wapi, mpaka leo hamjajifunza kwamba kujaa kwa wananchi kwenye mikutano sio kuwapa kura nyingi za urais, hivi hilo lichama mna nini hasa? Mbona mna shida sana kuelewa!!

LE Mutuz!!

Nadhani wewe ndio unashida sana kwani Dingi alichuniwa alipotaka ukuu wa kaya,mama wakufikia akanyimwa uongozi katika jumuia ya mipasho na wewe ukapigwa buti kwenye NEC .Kwa hiyo hupaswi kuangalia nichama gani hicho
 
khaa,kazi ipi!ila frankly ccm,kwa arusha mnapoteza muda!na wenyewe mnalijua hilo sema ubishi jadi yenu
 
Nadhani wewe ndio unashida sana kwani Dingi alichuniwa alipotaka ukuu wa kaya,mama wakufikia akanyimwa uongozi katika jumuia ya mipasho na wewe ukapigwa buti kwenye NEC .Kwa hiyo hupaswi kuangalia nichama gani hicho

Looooool, Li Mtuz yuko wapi ajibu mapigo??? Li Mtuz aka Sea Man mstaafu funguka!!!
 
picha hizi mbili kwa mtu mzuri kwenye ramani ni vitu viwili tofauti kabisa siujui huu uwanja lakini inaonekana kuna majukwaa zaidi ya mawili na ukiangalia kwenye uwanja wa pili hauoneshi kitu kama hicho kwa kifupi ccm msitufanye wajinga acheni kujindanganya maana siku moja mtadharaulika sana
 
- Baada ya kushindwa uchaguzi kila mara ungetegemea kuwa sasa mmeamuka lakini wapi, mpaka leo hamjajifunza kwamba kujaa kwa wananchi kwenye mikutano sio kuwapa kura nyingi za urais, hivi hilo lichama mna nini hasa? Mbona mna shida sana kuelewa!!

LE Mutuz!!

Kumbe una chuki binafsi. Nani asiyekua kuwa CCM milichakachua kama mfanyavyo ktk chaguzi zenu.
Koma kabisa kuita chama chetu kuwa ni lichama.
 
- Baada ya kushindwa uchaguzi kila mara ungetegemea kuwa sasa mmeamuka lakini wapi, mpaka leo hamjajifunza kwamba kujaa kwa wananchi kwenye mikutano sio kuwapa kura nyingi za urais, hivi hilo lichama mna nini hasa? Mbona mna shida sana kuelewa!!

LE Mutuz!!
sikutegemea kama nawe ni kilazi kama hivi leo ndio nimejua yaani kunasiku utavua hata nguo na tutakupeleka milembe sio muda mrefu yaani kuwaq na vijana kama wewe ni janga kwa taifa na chama kwa ujumla kajifie huko ccm
 
hata kwenye msiba huwa wanakusanyana kutoka maeneo mbalimbali ili kufarijiana, pamoja wingi huo watu wakishatawanyika msiba hubaki pale pale kwa ndugu wa maremu, ccm Arusha ni mfu kukusanyana kwa malori kutapunguza uchungu kwa cku moja tu then maumivu yako palepale
 
Kwa mtaji huu mwanahabari huyu ategemee zawadi ya uwaziri wa habari wa ccm na sio ukuu wa wilaya si ulona wenzake.thanx michuzi ya pweza tunayopenda watu wa pwani kuongeza.............?
 
CCM kwenye MIKUTANO yake INABEBACHOCHOTE kuhudhuria MIKUTANO yake... Sasa UTAJUAJE hayo MAJENGO wewe ULIPOPIGA PICHA YALICHELEWA kidogo MKUTANONI? Sasa PICHA ya PILI HAYOOOOO Yamewasili...

MICHUZI OYE...
 
Hii imenisikitisha sana kuona mtu mzima anafanya mambo
ya kuchakachua picha makusidi sijui ni kwa manufaa ya nani

Ombi kwa Michuzi na Nnauye Jr

1. Ili niweze kuamini Picha yenu leta picha nyingine tofauti na hii
ambayo imepigwa tokea upande mwingine, Kwanini mmeleta picha
moja ya uwanani?

2. Hii picha haina uhalisia na tukio zima BENDERA YA TAIFA ILIKUWA INATAFUTA NINI?

UTOFAUTI WA PICHA NA MATUKIO

1. Picha moja inaonesha SIMTANK kwa nyuma lakini Picha ya michuzi haina SIMTANK

2.Picha ya michuzi ina jukwaa kwa nyuma ambavyo kwa picha nyingine iliyopigwa na mwanaccm wa JF
haina JUKWAA KWA NYUMA

3. Picha ya michuzi haioneshi magari yaliyoleta watu kwenye mkutano sijui yamemezwa na watu au watu
wamekuwa wengi mpaka wameyafunika

4. Hivi inakuwaje Picha ya michuzi inashidwa kuonesha nyumba zilizopakana na uwanja au ni mambo ya positioning
katika kuchukua picha

Hii thread itafugwa (Nakala kwa Fang) kama atatokea mwanaJF atakayeleta side pic ambayo inaendana na picha ya michuzi
mimi ndo nitaamini kuwa picha ya michuzi ni ya kweli

Kama haitapatikana basi PICHA ZOTE AMBAZO ZIKO KWA MICHUZI ZIMECHAKACHULIWA

Natoa NAKALA kwa wana CCM wenzangu walete PICHA Nnauye Jr, W. J. Malecela, zomba, ETC

ilibidi niende mwenyewe michuzi nikaone na nimetokapo saa hii.hizo picha ni halisi ndugu yangu.mambo ya bendela ya taifa hata kwenye mkutano wa silaa huko karagwe Bk Jana kulikuwa na bendera ya taifa kwahiyo huna hoja.mambo ya simtank sijui limekuaje it is Groundless.
Hizi ni siasa tu utapata pressure ya bure unless otherwise na wewe uwe umo kwenye mkumbo wa watafuta ulaji kupitia siasa.
STAY COOL.
 
inalipa nini kuwataarifu watu habari ambazo zina mashaka ama sizo? wanahabari wa namna hii wanaweza ni warudi tena shule
 
Le Mutuz, Mimi bado nabanana na wewe, hadi uje hapa JF kuomba radhi kuwa umebadilika. Nilikushuhudia ukijisifu kuwa wewe ulitoa rushwa katika uchaguzi wa Afrika Mashariki ila ulikuwa na milioni kama 25 tu. Kama Kijana, tokea siku hiyo sikuamini, na mawazo unayotoa nayaona ni yale ya kujiuza tu. Umelelewa katika mfumo wa kununua Uongozi, hata mawazo yako ni ya kununua kuwapendeza walioko madarakani ili wakufikirie siku moja.....kalale usubiri mabadiliko yasio na watoto wa vigogo kama wewe mliozoea kuingizwa kwa sababu ya majina ya Wazee wenu
 
Back
Top Bottom