PICHA ARUSHA: CCM na Uchakachuzi wa picha mmekamatika

3.-Katibu-wa-NEC-Itikadi-na-Uenezi-Nape-Nnauye-akihutubia-mkutano-wa-hadhara-wa-CCM-Uwanja-wa-Sheikh-Amri-Abeid.jpg
 
Ukiangalia hizi picha mbili kuna tofauti kubwa moja ambayo nimeiona.

Picha anayohutubia kinana inaonyesha BENDERA za CCM na ile ya TAIFA zikiwa na umbali mkubwa sana.

Katika picha ya pili BENDERA zipo katika umbali ambao ni mdogo sana, na hizi bendera zipo kwenye SAKAFU yenye urefu mdogo tu. kwa namna ya vieneo vya bendera vinavyokua mimi najiridhisha kuwa picha ya pili ndiyo iko sahihi. LAKINI ile ya kinana SIO SAHIHI.
4.-Baadhi-ya-wananchi-wakipigapicha-kwa-kutumia-kamera-na-simu-zao-ili-kupata-kumbukumbu-ya-matukio-mbalimbali-wakati-wa-mkutano-huo.jpg
 
Shame upon kanjanja Michuzi!! picha ya kushoto ni photoshop kwa sababu uwanja wa sheikh Amri Abeid Arusha una jukwaa la kudumu upande wa magharibi kwa hiyo hapakuwa na sababu kwa CCM kujenga jukwaa jipya upande wa mashariki opposite na jukwaa la kudumu.

All in all picha ya mwana FJ ndio halisi na yakweli maana unaona bendera na magari ya VIP's sambamba na jukwaa kuu la kudumu. na magari ya wageni wengineo upande wa kaskazini kama ilivyo kawaida.
Kinana ana kazi kweli kweli kuweza kubadilisha mentality za aina hii.

we endelea kubisha lakini hizi picha zitakuumbua tu

5.-Mwenyekiti-wa-Umoja-wa-Vijana-wa-CCM-Khamis-Sadifa-Juma.-akizungumza-kwenye-mkutano-wa-CCM-uliofanyika-Sheikh-Amri-Abeid-jijini-Arusha.jpg
 
Ukiangalia hizi picha mbili kuna tofauti kubwa moja ambayo nimeiona.

Picha anayohutubia kinana inaonyesha BENDERA za CCM na ile ya TAIFA zikiwa na umbali mkubwa sana.

Katika picha ya pili BENDERA zipo katika umbali ambao ni mdogo sana, na hizi bendera zipo kwenye SAKAFU yenye urefu mdogo tu. kwa namna ya vieneo vya bendera vinavyokua mimi najiridhisha kuwa picha ya pili ndiyo iko sahihi. LAKINI ile ya kinana SIO SAHIHI.

9.-Katibu-wa-NEC-Itikadi-na-Uenezi-Nape-Nnauye-akishiriki-kucheza-kiduku-Msanii-Malow-alipotumbuiza-wakati-wa-mkutano-huo..jpg
 
Shame upon kanjanja Michuzi!! picha ya kushoto ni photoshop kwa sababu uwanja wa sheikh Amri Abeid Arusha una jukwaa la kudumu upande wa magharibi kwa hiyo hapakuwa na sababu kwa CCM kujenga jukwaa jipya upande wa mashariki opposite na jukwaa la kudumu.

All in all picha ya mwana FJ ndio halisi na yakweli maana unaona bendera na magari ya VIP's sambamba na jukwaa kuu la kudumu. na magari ya wageni wengineo upande wa kaskazini kama ilivyo kawaida.
Kinana ana kazi kweli kweli kuweza kubadilisha mentality za aina hii.

naendelea kuwaumbua wabishi hapa
8.-Maelfu-ya-wananchi-waliohudhuria-mkutano-huo.jpg
 
Huyo mtu wenu ni mwehu. Comments zake ni za ajabu sana ndio maana nimekomment. Wewe mtu miaka 54 lakini kila siku ni vituko tu? Hata kama ni ukuu wa wilaya, msihofu ataupata tu.

Mkuu,
Mtu wetu ki vipi?.

Ina maana umeisha niweka kwenye group fulani?

Anyway, let's agree to disagree
 
Hii imenisikitisha sana kuona mtu mzima anafanya mambo
ya kuchakachua picha makusidi sijui ni kwa manufaa ya nani

Ombi kwa Michuzi na Nnauye Jr

1. Ili niweze kuamini Picha yenu leta picha nyingine tofauti na hii
ambayo imepigwa tokea upande mwingine, Kwanini mmeleta picha
moja ya uwanani?

2. Hii picha haina uhalisia na tukio zima BENDERA YA TAIFA ILIKUWA INATAFUTA NINI?

UTOFAUTI WA PICHA NA MATUKIO

1. Picha moja inaonesha SIMTANK kwa nyuma lakini Picha ya michuzi haina SIMTANK

2.Picha ya michuzi ina jukwaa kwa nyuma ambavyo kwa picha nyingine iliyopigwa na mwanaccm wa JF
haina JUKWAA KWA NYUMA

3. Picha ya michuzi haioneshi magari yaliyoleta watu kwenye mkutano sijui yamemezwa na watu au watu
wamekuwa wengi mpaka wameyafunika

4. Hivi inakuwaje Picha ya michuzi inashidwa kuonesha nyumba zilizopakana na uwanja au ni mambo ya positioning
katika kuchukua picha

Hii thread itafugwa (Nakala kwa Fang) kama atatokea mwanaJF atakayeleta side pic ambayo inaendana na picha ya michuzi
mimi ndo nitaamini kuwa picha ya michuzi ni ya kweli

Kama haitapatikana basi PICHA ZOTE AMBAZO ZIKO KWA MICHUZI ZIMECHAKACHULIWA

Natoa NAKALA kwa wana CCM wenzangu walete PICHA Nnauye Jr, W. J. Malecela, zomba, ETC
Uajambazi kila upande kweli "mkono mrefu" ni mkono mrefu tu hata ukiufanyaje. Haya majambazi tuyaondoe haraka hata kabla ya 2015 jamani mwe!
 
CCM kwa kuchakachua hamjambo kama tusingepiga picha siku hiyo si ingekuwa balaa...
 
Back
Top Bottom