PICHA ARUSHA: CCM na Uchakachuzi wa picha mmekamatika

- Baada ya kushindwa uchaguzi kila mara ungetegemea kuwa sasa mmeamuka lakini wapi, mpaka leo hamjajifunza kwamba kujaa kwa wananchi kwenye mikutano sio kuwapa kura nyingi za urais, hivi hilo lichama mna nini hasa? Mbona mna shida sana kuelewa!!

LE Mutuz!!
Huyu jamaa apuuzwe, toka hapa Jf kauze sura kwenye blog yako na akina wema sepetu, kila ukijaribu kutaka uongozi unapigwa chini, halafu unatokwa povu kutetea magamba, shame on you! CCM ina wenyewe akina pindi chana.

Hivi blogu yako ya udaku inaendeleaje?
 
#Mkutano wa jana wa ccm mkoa wa Arusha ulikuwa ni mkutano wa ccm kwa ajili ya mkoa mzima wa Arusha, sioni kama ni vema ccm wakajipima kukubalika kwao mkoani arusha, kwa sababu walisomba wananchi na wanachama wao mkoa mzima wa arusha!

#Kwa sababu Lowasa alikuja na wafuasi wake kutoka munduli,
#Ole telele nae alikuja na wafuasi wake,
#Michael Laizer nae alikuja na wake,
#Ole medeye nae alikuja na wa kwake.
Sasa kama walikuja wote hao ina maana ndo wanachama wa ccm mkoa wa arusha.
 
# kujilinganisha na chadema kwa wingi wa watu ambao mmewasomba na magari si sawa na cdm ambao watu wanakuja wenyewe bila kulipiwa usafiri na kupewa pesa!
 
- Baada ya kushindwa uchaguzi kila mara ungetegemea kuwa sasa mmeamuka lakini wapi, mpaka leo hamjajifunza kwamba kujaa kwa wananchi kwenye mikutano sio kuwapa kura nyingi za urais, hivi hilo lichama mna nini hasa? Mbona mna shida sana kuelewa!!

LE Mutuz!!

Unaonekana una jazba sana, hapa tuna discuss uhalisi wa picha, hilo lichama kama halina akili ya kuelewa achana nalo.
 
- Baada ya kushindwa uchaguzi kila mara ungetegemea kuwa sasa mmeamuka lakini wapi, mpaka leo hamjajifunza kwamba kujaa kwa wananchi kwenye mikutano sio kuwapa kura nyingi za urais, hivi hilo lichama mna nini hasa? Mbona mna shida sana kuelewa!!

LE Mutuz!!
ikifikia hatua chama kinakodi hadi wasanii kwenye mikutano yake mbali na kuwanunua vijana wa bodaboda kwa ujira wa mafuta full tank.. basi jiulize mara mbili?

Ikifikia hatuma chama kinaanza kudandia ilani ya uchaguzi ya chama kingine bila idhini basi ujue Kuna Tatizo
 
- Baada ya kushindwa uchaguzi kila mara ungetegemea kuwa sasa mmeamuka lakini wapi, mpaka leo hamjajifunza kwamba kujaa kwa wananchi kwenye mikutano sio kuwapa kura nyingi za urais, hivi hilo lichama mna nini hasa? Mbona mna shida sana kuelewa!!

LE Mutuz!!
kama ulizaliwa mchana ni bahati mbaya saana kutojua kuwa unachowaza sasa ni usiku wa giza
 
Ni kazi ya photoshop editing, watu wenu wa Lumumba wanafanya kazi ili chama kisiaibike.

Wanatumia ufundi wa kuchanganya picha(yaani kuchakachua). Ukiwa na program kama photoshop unachanganya hata movie.
 
Nimeziangalia hizo picha mbili kwa umakini sana lakini it is not 100% evident kwamba imechakachuliwa,inavyoonyesha zilipigwa kwa wakati tofauti na at different angles, kwani uwanja wa sheikh amri aeid, una viingilio kama vitatu tofauti, labda wewe ndo umekosea....by anyway, yale mabati ya bluu yangeonekana katika picha zote....don't judge by the flag posts, sitetei upande wowote ule, ila tushirikiane kutambua ukweli kuhusu hii editing, au ni kwamba aliyeanzisha thread ndiye aliyechanganya madesa, kwani nina wasiwasi hakuwepo kwenye eneo la tukio....naomba muongozo kutoka kwa watu8, ambaye ni mtaalam wa photoshop atupie na yeye macho yake atupe feedback......just for the sake of being sure
Ni kazi ya photoshop editing, watu wenu wa Lumumba wanafanya kazi ili chama kisiaibike.

Wanatumia ufundi wa kuchanganya picha(yaani kuchakachua). Ukiwa na program kama photoshop unachanganya hata movie.
quote_icon.png
By Jeykey

- Baada ya kushindwa uchaguzi kila mara ungetegemea kuwa sasa mmeamuka lakini wapi, mpaka leo hamjajifunza kwamba kujaa kwa wananchi kwenye mikutano sio kuwapa kura nyingi za urais, hivi hilo lichama mna nini hasa? Mbona mna shida sana kuelewa!!

LE Mutuz!!
Wewe nawe sasa acha ujinga kwani hapa kinachoongea chama au mtu. Halafu hoja hapa ni kuchakachua pia sema sasa picha mmechakachua au hamjachakachua? Maana ukiangalia backgrounds kwenye picha hizo kama zilivyooneshwa zinaonekana picha mbili tofauti. Sasa kama mmefanya hivyo mnamdanga nani sio mnajidanganya wenyewe kweli?
 
Kwa aliyeangalia ITV mtasema nao walichakachua huo ni kutokukubali ukweli kwamba CCM waliibamba Arusha
 
nimeziangalia hizo picha mbili kwa umakini sana lakini it is not 100% evident kwamba imechakachuliwa,inavyoonyesha zilipigwa kwa wakati tofauti na at different angles,kwani uwanja wa sheikh amri aeid,una viingilio kama vitatu tofauti,labda wewe ndo umekosea....by anyway,yale mabati ya bluu yangeonekana katika picha zote....dont judge by the flag posts,sitetei upande wowote ule,ila tushirikiane kutambua ukweli kuhusu hii editing,au ni kwamba aliyeanzisha thread ndiye aliyechanganya madesa,kwani nina wasiwasi hakuwepo kwenye eneo la tukio....naomba muongozo kutoka kwa watu8,ambaye ni mtaalam wa photoshop atupie na yeye macho yake atupe feedback......just for the sake of being sure

quote_icon.png
By Jeykey

Ukiangalia hizi picha mbili kuna tofauti kubwa moja ambayo nimeiona.

Picha anayohutubia kinana inaonyesha BENDERA za CCM na ile ya TAIFA zikiwa na umbali mkubwa sana.

Katika picha ya pili BENDERA zipo katika umbali ambao ni mdogo sana, na hizi bendera zipo kwenye SAKAFU yenye urefu mdogo tu. kwa namna ya vieneo vya bendera vinavyokua mimi najiridhisha kuwa picha ya pili ndiyo iko sahihi. LAKINI ile ya kinana SIO SAHIHI.
 
Shame upon kanjanja Michuzi!! picha ya kushoto ni photoshop kwa sababu uwanja wa sheikh Amri Abeid Arusha una jukwaa la kudumu upande wa magharibi kwa hiyo hapakuwa na sababu kwa CCM kujenga jukwaa jipya upande wa mashariki opposite na jukwaa la kudumu.

All in all picha ya mwana FJ ndio halisi na yakweli maana unaona bendera na magari ya VIP's sambamba na jukwaa kuu la kudumu. na magari ya wageni wengineo upande wa kaskazini kama ilivyo kawaida.
Kinana ana kazi kweli kweli kuweza kubadilisha mentality za aina hii.
 
Hii imenisikitisha sana kuona mtu mzima anafanya mambo
ya kuchakachua picha makusidi sijui ni kwa manufaa ya nani

Ombi kwa Michuzi na Nnauye Jr

1. Ili niweze kuamini Picha yenu leta picha nyingine tofauti na hii
ambayo imepigwa tokea upande mwingine, Kwanini mmeleta picha
moja ya uwanani?

2. Hii picha haina uhalisia na tukio zima BENDERA YA TAIFA ILIKUWA INATAFUTA NINI?

UTOFAUTI WA PICHA NA MATUKIO

1. Picha moja inaonesha SIMTANK kwa nyuma lakini Picha ya michuzi haina SIMTANK

2.Picha ya michuzi ina jukwaa kwa nyuma ambavyo kwa picha nyingine iliyopigwa na mwanaccm wa JF
haina JUKWAA KWA NYUMA

3. Picha ya michuzi haioneshi magari yaliyoleta watu kwenye mkutano sijui yamemezwa na watu au watu
wamekuwa wengi mpaka wameyafunika

4. Hivi inakuwaje Picha ya michuzi inashidwa kuonesha nyumba zilizopakana na uwanja au ni mambo ya positioning
katika kuchukua picha

Hii thread itafugwa (Nakala kwa Fang) kama atatokea mwanaJF atakayeleta side pic ambayo inaendana na picha ya michuzi
mimi ndo nitaamini kuwa picha ya michuzi ni ya kweli

Kama haitapatikana basi PICHA ZOTE AMBAZO ZIKO KWA MICHUZI ZIMECHAKACHULIWA

Natoa NAKALA kwa wana CCM wenzangu walete PICHA Nnauye Jr, W. J. Malecela, zomba, ETC

This is Nonsense really! The great thinker should discuss great things and not pictures or people as smaller minds Do! anyway we have such kinds of people in every sociaty.But the pivot point is, Let's not entatain them.
 
Hii imenisikitisha sana kuona mtu mzima anafanya mambo
ya kuchakachua picha makusidi sijui ni kwa manufaa ya nani

Ombi kwa Michuzi na Nnauye Jr

1. Ili niweze kuamini Picha yenu leta picha nyingine tofauti na hii
ambayo imepigwa tokea upande mwingine, Kwanini mmeleta picha
moja ya uwanani?

2. Hii picha haina uhalisia na tukio zima BENDERA YA TAIFA ILIKUWA INATAFUTA NINI?

UTOFAUTI WA PICHA NA MATUKIO

1. Picha moja inaonesha SIMTANK kwa nyuma lakini Picha ya michuzi haina SIMTANK

2.Picha ya michuzi ina jukwaa kwa nyuma ambavyo kwa picha nyingine iliyopigwa na mwanaccm wa JF
haina JUKWAA KWA NYUMA

3. Picha ya michuzi haioneshi magari yaliyoleta watu kwenye mkutano sijui yamemezwa na watu au watu
wamekuwa wengi mpaka wameyafunika

4. Hivi inakuwaje Picha ya michuzi inashidwa kuonesha nyumba zilizopakana na uwanja au ni mambo ya positioning
katika kuchukua picha

Hii thread itafugwa (Nakala kwa Fang) kama atatokea mwanaJF atakayeleta side pic ambayo inaendana na picha ya michuzi
mimi ndo nitaamini kuwa picha ya michuzi ni ya kweli

Kama haitapatikana basi PICHA ZOTE AMBAZO ZIKO KWA MICHUZI ZIMECHAKACHULIWA

Natoa NAKALA kwa wana CCM wenzangu walete PICHA Nnauye Jr, W. J. Malecela, zomba, ETC
eti ili uweze kuamini, kwani wewe ninani katika ccm? take your time na u.**** wako.
 
Ni rahisi sana kukaa nyuma ya screen na kurusha matusi lakini vilevile kwa kufanya hivyo inadhiilisha kama una psychological defect

Hakuna mtu aliyechagua kuzaliwa kwenye kabila fulani tajiri au masikini. Do you know how many Wagogo in CHADEMA. Kwa hiyo unataka kusema wagogo wote ambao wako CHADEMA hawatakiwi.

You drum tribalism within political party. Political madness

Huyo mtu wenu ni mwehu. Comments zake ni za ajabu sana ndio maana nimekomment. Wewe mtu miaka 54 lakini kila siku ni vituko tu? Hata kama ni ukuu wa wilaya, msihofu ataupata tu.
 
Back
Top Bottom