Picha: Angalia jinsi daladala wanavyojiongeza na level seats

Katika harakati hizi za kukabiliana na gonjwa la Corona tulionywa na mamlaka ya nchi juu ya kujilinda ikiwa ni pamoja na kukaa mbali kati ya mtu na mtu (social distance).

Pia mamlaka kama SUMATRA walitoa angalizo Kwenye vyombo vyote vya usafiri abiria wote wakae Kwenye viti na asiwepo mtu wa kusimama na kushikilia bomba lakini cha kushangaza na kusikitisha bado kuna baadhi ya waendesha daladala wameendelea kukaidi.

Daladala nyingi za Buza - Chamazi, Kongowe na Vikindu wamebuni njia rahisi ya kuchonga mabenchi madogo yenye urefu wa futi 1.5 ambapo huwekwa Kati ili kufidia abiria waliokuwa wanasimama kabla ya kupigwa marufuku.

Watu wa Usalama Barabarani waangalie hili TATIZO Kwenye daladala maana makondakta wameshajiongeza Kwa kufanya jeuri tena

View attachment 1408618View attachment 1408619
Safi sana kumbe level seat inawezekana hata bila tishio la corona!!!!! natamani utaratibu huu uendelee hivihivi hata baada ya janga la corona kwisha. Mbona kenya iko hivo, sisi tunakwama wapi.?
 
Katika harakati hizi za kukabiliana na gonjwa la Corona tulionywa na mamlaka ya nchi juu ya kujilinda ikiwa ni pamoja na kukaa mbali kati ya mtu na mtu (social distance).

Pia mamlaka kama SUMATRA walitoa angalizo Kwenye vyombo vyote vya usafiri abiria wote wakae Kwenye viti na asiwepo mtu wa kusimama na kushikilia bomba lakini cha kushangaza na kusikitisha bado kuna baadhi ya waendesha daladala wameendelea kukaidi.

Daladala nyingi za Buza - Chamazi, Kongowe na Vikindu wamebuni njia rahisi ya kuchonga mabenchi madogo yenye urefu wa futi 1.5 ambapo huwekwa Kati ili kufidia abiria waliokuwa wanasimama kabla ya kupigwa marufuku.

Watu wa Usalama Barabarani waangalie hili TATIZO Kwenye daladala maana makondakta wameshajiongeza Kwa kufanya jeuri tena

View attachment 1408618View attachment 1408619
Wapo ambao wamechomelra kabisa viti hiyo corido yote. Viti vya kukunjua hivyo unakuta ana abiria kama sita wanakaa.
 
Muafrica anahitaji fimbo kuelewa sio elimu

Yaan walichofanya ni kama vile wameambiwa Corona inaenea kwa kusimama kwenye gari sio msongamano

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakikaa kwenye siti hamna kugusana? Lengo la kuzuia watu kusimama ni kwamba sehemu ya kusimama watu sita watasimama watu 30. Kwa siti hizo wala sioni tatizo la ugonjwa kuenea, ishu hapo ni siti sio salama ikitokea imefungwa breki ghafla mnaweza jikuta kwenye kioo cha dereva.
 
Katika harakati hizi za kukabiliana na gonjwa la Corona tulionywa na mamlaka ya nchi juu ya kujilinda ikiwa ni pamoja na kukaa mbali kati ya mtu na mtu (social distance).

Pia mamlaka kama SUMATRA walitoa angalizo Kwenye vyombo vyote vya usafiri abiria wote wakae Kwenye viti na asiwepo mtu wa kusimama na kushikilia bomba lakini cha kushangaza na kusikitisha bado kuna baadhi ya waendesha daladala wameendelea kukaidi.

Daladala nyingi za Buza - Chamazi, Kongowe na Vikindu wamebuni njia rahisi ya kuchonga mabenchi madogo yenye urefu wa futi 1.5 ambapo huwekwa Kati ili kufidia abiria waliokuwa wanasimama kabla ya kupigwa marufuku.

Watu wa Usalama Barabarani waangalie hili TATIZO Kwenye daladala maana makondakta wameshajiongeza Kwa kufanya jeuri tena

View attachment 1408618View attachment 1408619
Huu ni upumbavu and its nota acceptable.
Hivyo viti ni hatari sana . Kwa sababu ni mobile.
Matrafiki wako wapi??
 
N

Namba ya hiyo gari ninayo MKUU na huu mchezo nimeambiwa umeenea Kwenye Mabasi mengi ya huku Chamazi,mbande na kisewe
 
Back
Top Bottom