Picha: Angalia jinsi daladala wanavyojiongeza na level seats

Kwanini unajifanya kama huna akili? Unajua ni kwanini wamesema watu wasisimame? Nia ni kupunguza mlundikano wa watu i.e. kupunguza idadi ya watu kwenye daladala ili kupunguza uwezekano wa maambukizi.
Ndiyo maana nikakuuliza kuna tofauti gani na seat za kukunjua (stretchable seats) zinazokua katikati?
 
Ndiyo maana nikakuuliza kuna tofauti gani na seat za kukunjua (stretchable seats) zinazokua katikati?
Kwa sababu siti za kukunjua zimewekuwa designed na mtengeneza gari na aliweziweka akizingatia design ya gari! Kungezea siti kienyeji na hatari na itafanya wenye magari wajaze viti kila penye nafasi na kusabisha lengo la kupunguza msongamano kutofanikiwa.
 
Kwa sababu siti za kukunjua zimewekuwa designed na mtengeneza gari na aliweziweka akizingatia design ya gari! Kungezea siti kienyeji na hatari na itafanya wenye magari wajaze viti kila penye nafasi na kusabisha lengo la kupunguza msongamano kutofanikiwa.
Ok umejibu vema. Mengine tukienda itakua ligi bure. Kila mtu apambane na hali yake!
 
Ndo maana ya kutafakari na kuelewa , sio kukariri Amri.

Kikubwa katika kuweka level seat ni mbanano ambao utasababisha kupumuliana.

Maana hata hiyo level seat bado tumesogeleana lkn hatujabanana kiasi cha kuhatarisha afya kwa njia ya hewa.

Hivyo Hilo la kuongeza seat ni sawa kabisa.
 
Safi sana kumbe level seat inawezekana hata bila tishio la corona!!!!! natamani utaratibu huu uendelee hivihivi hata baada ya janga la corona kwisha. Mbona kenya iko hivo, sisi tunakwama wapi.?
Itakuwa ngumu hili swala kwani hapa ilipo penyewe yamekodiwa hadi mabasi ya mashuleni yasaidie kwenye swala la usafiri katika kipindi iki,Serikali ndio inatakiwa ije na mpango kazi wa kuleta vyombo vya usafiri
 
Wasi wasi wangu kwenye MASHIMO na kona kali.

KIGODA kinaweza kukutupa
 
Abiria ndiyo wajinga, na ujanja wa kubuni! siyo ma-Konda wa daladala, Abiria wabuza wanalazimisha kupanda gari wakati watu wako level seat, kwa nini wasiache kupanda wakasubiri gari nyingine? kama abiria wa Masaki?

Afya ni ajili ya usalama wa Familia yako na wengine pia, usione ajabu mleta Mada akaumia na yeye hivohivo!
 
Sidhani kama kilichofanywa na hawa ni makosa kwa sababu kiasili mabasi hayo yalitengenezwa kiwandani yakiwa na kiti cha kati cha mkunjo, lililokuwa kosa ni kung'oa vile viti ili kusimamisha.
 
Katika harakati hizi za kukabiliana na gonjwa la Corona tulionywa na mamlaka ya nchi juu ya kujilinda ikiwa ni pamoja na kukaa mbali kati ya mtu na mtu (social distance).

Pia mamlaka kama SUMATRA walitoa angalizo Kwenye vyombo vyote vya usafiri abiria wote wakae Kwenye viti na asiwepo mtu wa kusimama na kushikilia bomba lakini cha kushangaza na kusikitisha bado kuna baadhi ya waendesha daladala wameendelea kukaidi.

Daladala nyingi za Buza - Chamazi, Kongowe na Vikindu wamebuni njia rahisi ya kuchonga mabenchi madogo yenye urefu wa futi 1.5 ambapo huwekwa Kati ili kufidia abiria waliokuwa wanasimama kabla ya kupigwa marufuku.

Watu wa Usalama Barabarani waangalie hili TATIZO Kwenye daladala maana makondakta wameshajiongeza Kwa kufanya jeuri tena

View attachment 1408618View attachment 1408619
hili daladala la BUZA
 
Hiyo level seat na watu wapo zero distance inasaidia nini kukinga corona ni sawa na kuziba shimo la panya kwa mkate. Yaani siti zenyewe mnagusana, na hata wakiweka hivyo ni sawa tu na level seat hakuna tofauti.

Tusitie nuksi kazi za watu, hiyo na level seat ni sawa tu. Hao nao wanataka kula kama wewe, kama umepata namna ya kupata ugali usibanie na wengine sasa... Hiyo hesabu ya tajiri waitimize vipi na posho yao waipataje?
 
Back
Top Bottom