Photo shoot ya namna hii ni sawa kimaadili?

Umetoka zako kwenye mihangahiko ya kutafuta pesa, umechoka balaa ukiwa kwenye usafiri unaamua kuingia Facebook kidogo upate kutazama taarifa ghafla unakutana na picha hii ya mke wako na mtoto wako.
View attachment 3327239
Je utampongeza mke wako? Ama utalibeba mzima mzima?! Kiuhalisi sidhani kama kuna ulazima wa kupiga picha za namna hii.
View attachment 3327238
 
Attachments

  • download.jpg
    download.jpg
    8.5 KB · Views: 11
Umetoka zako kwenye mihangahiko ya kutafuta pesa, umechoka balaa ukiwa kwenye usafiri unaamua kuingia Facebook kidogo upate kutazama taarifa ghafla unakutana na picha hii ya mke wako na mtoto wako.
View attachment 3327239
Je utampongeza mke wako? Ama utalibeba mzima mzima?! Kiuhalisi sidhani kama kuna ulazima wa kupiga picha za namna hii.
View attachment 3327238
Usitake wawaze kama unavyowaza.

Kama hajavunja sheria za nchi its ok.
 
Umetoka zako kwenye mihangahiko ya kutafuta pesa, umechoka balaa ukiwa kwenye usafiri unaamua kuingia Facebook kidogo upate kutazama taarifa ghafla unakutana na picha hii ya mke wako na mtoto wako.
Ndiyo maana talaka zimetamalaki kumbe wanaume wanapitia mengi magumu huko majumbani
 
tafsiri yetu tu ila itafika wakati hata ukipishana na mtu barabarani akiwa uchi utaona ni jambo la kawaida...
Kabisa uchi now sio kitu cha kushtua tena ,unakuta vidada na bikini tu na wanaume wapo hapo tu normal wala hakuna mdada alie kwenye hatari ya kubakwa🤔
 
Back
Top Bottom