Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,913
- 70,690
Wanaume mna kazi sana, huyu ke nae ni mke wa mtuHuyo mume nae ndio wale wale tu, mke hawezi fanya huo ujinga mbele ya kamera na mume anamwangalia tu.
Wanaume mna kazi sana, huyu ke nae ni mke wa mtuHuyo mume nae ndio wale wale tu, mke hawezi fanya huo ujinga mbele ya kamera na mume anamwangalia tu.
Wataalamu wa mipira iliyokufa😂Single mother huyo.
She is hunting ( yupo mawindoni) na wateja ni wale wanaume dhaifu ambao hawapitwi na kat
Nguvu za kiume zishapoteaKabisa uchi now sio kitu cha kushtua tena ,unakuta vidada na bikini tu na wanaume wapo hapo tu normal wala hakuna mdada alie kwenye hatari ya kubakwa🤔
Madamu mzuri na wewe unasema hivi🤣🤣🤣🤣🤣 kweli dunia imeharibika pakubwa.Nguvu za kiume zishapotea
Madame upo?Her body, her choice.
Sasa jee. Raha ya mwanamke ni kujihifadhi ili mwanamme atamani kujua umeficha nini, na ukimfunulia paja tu adise. Sasa kumbe mnaona mpk wekundu na still mtarimbo umelala doro huoni kama nguvu za kiume zishapotea hapo! Halafu mnaanza kuhangaika kuzitafuta 😝Madamu mzuri na wewe unasema hivi🤣🤣🤣🤣🤣 kweli dunia imeharibika pakubwa.
Huyu siyo mke,ni single motherUmetoka zako kwenye mihangahiko ya kutafuta pesa, umechoka balaa ukiwa kwenye usafiri unaamua kuingia Facebook kidogo upate kutazama taarifa ghafla unakutana na picha hii ya mke wako na mtoto wako.
View attachment 3327239
Je utampongeza mke wako? Ama utalibeba mzima mzima?! Kiuhalisi sidhani kama kuna ulazima wa kupiga picha za namna hii.
View attachment 3327238
Madam umenigusa sana assee,mimi na addiction na mapaja na miguu mizuri sura hata mbuzi anayo aseeeSasa jee. Raha ya mwanamke ni kujihifadhi ili mwanamme atamani kujua umeficha nini, na ukimfunulia paja tu adise. Sasa kumbe mnaona mpk wekundu na still mtarimbo umelala doro huoni kama nguvu za kiume zishapotea hapo! Halafu mnaanza kuhangaika kuzitafuta 😝
Nimejaa telee kama pishi la mchele,Madame upo?
Na ninanukia vizuri kweli, hapa nakula vitu vyangu 🍺 sio mchezo , nikitoka na kula baangiiiili pafu za kutosha nazamia ndichi kibingwaNimejaa telee kama pishi la mchele,
Niambie mzee wa kunukia vizuri
Kuna wanawake wanavaa Abaya na bado tunaona namba nane ilivyojichora alooo!Sasa jee. Raha ya mwanamke ni kujihifadhi ili mwanamme atamani kujua umeficha nini, na ukimfunulia paja tu adise. Sasa kumbe mnaona mpk wekundu na still mtarimbo umelala doro huoni kama nguvu za kiume zishapotea hapo! Halafu mnaanza kuhangaika kuzitafuta 😝
MnoKuna wanawake wanavaa Abaya na bado tunaona namba nane ilivyojichora alooo!
Nawatetea hawa mabroo sio kama nguvu zimeisha ni vile wamezoea kuona hayo kwa hiyo hawapeleki hisia zao huko tena unless akitaka
Kwake yeye iko sawa ndio maana kamfuraisha mpiga pichaUmetoka zako kwenye mihangahiko ya kutafuta pesa, umechoka balaa ukiwa kwenye usafiri unaamua kuingia Facebook kidogo upate kutazama taarifa ghafla unakutana na picha hii ya mke wako na mtoto wako.
View attachment 3327239
Je utampongeza mke wako? Ama utalibeba mzima mzima?! Kiuhalisi sidhani kama kuna ulazima wa kupiga picha za namna hii.
View attachment 3327238
Hao pia wanakosea. Ingawa hawawi sawa na wanaoonesha matiti, vitovu na mapaja.Kuna wanawake wanavaa Abaya na bado tunaona namba nane ilivyojichora alooo!
Nawatetea hawa mabroo sio kama nguvu zimeisha ni vile wamezoea kuona hayo kwa hiyo hawapeleki hisia zao huko tena unless akitaka