Photo shoot ya namna hii ni sawa kimaadili?

Photo shoot ya namna hii ni sawa kimaadili?

Umetoka zako kwenye mihangahiko ya kutafuta pesa, umechoka balaa ukiwa kwenye usafiri unaamua kuingia Facebook kidogo upate kutazama taarifa ghafla unakutana na picha hii ya mke wako na mtoto wako.
View attachment 3327239
Je utampongeza mke wako? Ama utalibeba mzima mzima?! Kiuhalisi sidhani kama kuna ulazima wa kupiga picha za namna hii.
View attachment 3327238
Je uliye ipandisha unaona ina maadili?
 
Kwani single Maza na picha vinahusiana kivip?

Wangapi wapo kwenye ndoa wanatoa picha za uchi ni single parents?

Pumzisheni mama wa watu na waheshimiwe sana, kama kukaa uchi hata mama wa yeyote alikaa uchi ukapatikana,
 
Tulizaliwa uchi na uchi tunatakiwa tuishi

Makampuni ya nguo yalikuja kama means ya watu kupata pesa🤣🤣🤣
 
mkuu una stori za vijiweni sana, hizi tulidanganywa kitambo iyo et mzungu bora akuoneshe mbunye ila sio matiti
Sisi wengine tumeishi na hao wazungu huko Ulaya si kwamba tunasema ya vijiweni mkuu.
 
Huyu lazima atakuwa ni single mother. Tabia zao huwa ni za umalaya na kupenda kupewa attention kupitia umalaya hawanaga jipya.
 
Umetoka zako kwenye mihangahiko ya kutafuta pesa, umechoka balaa ukiwa kwenye usafiri unaamua kuingia Facebook kidogo upate kutazama taarifa ghafla unakutana na picha hii ya mke wako na mtoto wako.
View attachment 3327239
Je utampongeza mke wako? Ama utalibeba mzima mzima?! Kiuhalisi sidhani kama kuna ulazima wa kupiga picha za namna hii.
View attachment 3327238
Hakuna mke wa mtu anawezapiga picha ya hivi. Huyu ni malaya tu anafanya ujasiriamali
 
Back
Top Bottom