Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 6,204
- 10,719
Umetoka zako kwenye mihangahiko ya kutafuta pesa, umechoka balaa ukiwa kwenye usafiri unaamua kuingia Facebook kidogo upate kutazama taarifa ghafla unakutana na picha hii ya mke wako na mtoto wako.
Je utampongeza mke wako? Ama utalibeba mzima mzima?! Kiuhalisi sidhani kama kuna ulazima wa kupiga picha za namna hii.
Je utampongeza mke wako? Ama utalibeba mzima mzima?! Kiuhalisi sidhani kama kuna ulazima wa kupiga picha za namna hii.