Petroli bei juu. Mafuta ya kupikia bei juu. Mazagazaga bei juu. Maji ya kutumia hakuna. Umeme kukatika hata mara 5 au 6 kwa siku!

Umefunga mjadala katika mada hii. Upepo wa siasa wa nchi hii unauelewa vizuri sana.

Kwanza maumivu wayapatayo raia kutokana na vitu kupanda hovyo hayaelezeki.

Wapinzani nao kazi mkugombea madaraka tu, hawana sera zozote mbadala na wengi ni mamluki.

Tuna safari ndefu, lakini kila lenye mwanzo lina mwisho wake.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika MAMBO yamekuwa MAMBO
BEI ya MAFUTA imevunja REKODI kwa KUPANDA na WATAWALA wapo Kimya Masikini Wanyonge HAWAJUI la KUFANYA.Nilitarajia huu UPANDAJI wa BIDHAA kama MAFUTA,GESI SUKARI,MAFUTA ya KULA n.k
Mh.RAIS SAMIA Angetoka HADHARANI Akazungumzia SERIKALI yake IMEJIPANGA vipi KUZIPUNGUZA hizo GHARAMA kwa WANANCHI pia KUFAFANUA sababu za UPANDAJI huo.
WANANCHI bado Tunaugulia TOZO,Mgao wa UMEME na MAJI
Hakika MAMBO yamekuwa MAMBO kwa SERIKALI ya Awamu ya 5 ya RAIS wa 6
SISIYEMU Kumebanana MAKADA wapo KIMYA
 
Usifananishe Awamu ya 5 na huu upuuzi wa Team Hangaya!
 
Kwa matatizo haya wakati viongozi wenye dhamana mko kimya nyie mnakula kuku kwa mrija je bado mnao uhalali was kuendelea kukaa madarakani? Tanzania is a failing state under madam presidaaaaaa she is failing in many social aspects,is it a conspiracy,or just a coincidence?
 
Kutokana na hayo matatizo yaliyotajwa hapo juu. Je, Mama Samia anatupeleka wapi na wasaidizi wake? Tutaishia wapi? Kumbekeni Omicron nayo yatunyemelea kama bado haijafika! Kweli bongo bahati mbaya.
Jumba bovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…