dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,171
- 54,646
Hahahahahah V for VendettaNa kibwagizo cha taarab kinasema " Watasema mchana wee usiku watalala, wacha wacha waseme"
Hahahahahah V for VendettaNa kibwagizo cha taarab kinasema " Watasema mchana wee usiku watalala, wacha wacha waseme"
Kutokana na hayo matatizo yaliyotajwa hapo juu. Je Mama Samia anatupeleka wapi na wasaidizi wake?! Tutaishia wapi?! Kumbekeni Omicron nayo yatunyemelea kama bado haijafika! Kweli bongo bahati mbaya….
Yeye anaendelea kumchafua marehemu ili aonekane yu bora zaidi ya marehemu. Ubora ni vitendo siyo maneno jukwaani.Kutokana na hayo matatizo yaliyotajwa hapo juu. Je Mama Samia anatupeleka wapi na wasaidizi wake?! Tutaishia wapi?! Kumbekeni Omicron nayo yatunyemelea kama bado haijafika! Kweli bongo bahati mbaya….
Heri ifike laki sio 5000 kuliko bwaana yule kuwa mjengoni!!! Jinga kabisaMama anafungua nchi tunataka bei ifike 5,000 kwa litre ili tuheshimiane
HahahaaaJiwe aliibana sana hii nchi... Bi Mkubwa anaifungua sasa... Tulieni mlishwe vinono si mnajua siku zote mama huwa ana huruma
Hahahah Mgosi anazingua sanaHeri ifike laki sio 5000 kuliko bwaana yule kuwa mjengoni!!! Jinga kabisa
Kiongozi lazima awe mfuatiliaji, otherwise mambo yataharibika na hujui. Alisema hafatilii coz aliowateua ni watu wazima wanaojielewa, hawezi kufoka. Bahati mbaya sana hajui nature ya mtu mweusi, hasa mtanzania.Wengine tuna uhakika Mama haambiwi ukweli. Kiukweli tukubali mama hajuwi bei ya sukari petroli nyama gesi mafuta yawe ya kupikia au petroli. Wasaidizi kucha kumpangia safari na cha kusema hadharani. Hawataki asafiri kwa barabara wala hana dawati la kusikiliza shida za raia. Akitoka tu safari wanambambika safari tena na tena na tena! Sielewi kwanini naye hashtuki! Labda naye limbukeni wa kusafiri?! Wanampelekesha mama yetu mpaka hajuwi yuko pale asafiri au mtalii au boya tu. Mchwa wanatafuna nchi Mama zinduka…
Kwani huu ugonjwa kwa Serikali ndo inakuaje maana kama chanjo tunapewa na wahisani bado hawajanunua kwa hela zetu nchini watu wanafanya kazi hakuna lockdown shida n nnYes...aanzishe Tozo ya COVID-19 kupunguza makali ya COVID-19 kwa serikali.
Mimi mwenyewe nimeshangaa bili ya mwezi huu. Haijawahi tokea nikalipa 35000k lakini nalazimika maana hakuna namnaPamoja na maji kutoka kwa kusua sua, bill ya mwezi uliopita ni kubwa kuliko maji yakiwepo 24/7
Uko wapi mkuu ambapo kuna mgao hadi leo? Mgao tumeupangua umeme upo kama kawa 24hrs.Ila hapo kwenye umeme kwa kweli nchi inakua imepoa karibia 12 hours hakuna uzalishaji kuanzia kwa mtu binafsi,viwanda vidogo vidogo,viwanda vikubwa .
Tanzania ni nchi nzuri sana ila watu wake ni wa hovyo sana, kutwa kulalamika tu hamjui namna ya kujisaidia kazi ya kulalamukia viongozi, kwani nani kawatuma kuongozwa!!Na week ya3 huku kwetu maji hayatoki na hayana habari na bill wanaleta kama kawaida. Hii nchi ni ya hovyo sana
Nikiwa sebleni kwa shemeji yangu na king'amuzi ameshakilipia huku na subiri dada apike ugali na nyama nile... Hii Nchi inazidi kua ngumuKutokana na hayo matatizo yaliyotajwa hapo juu. Je, Mama Samia anatupeleka wapi na wasaidizi wake? Tutaishia wapi? Kumbekeni Omicron nayo yatunyemelea kama bado haijafika! Kweli bongo bahati mbaya.
Mwizukulu jilala....!Show..show
Niambie rafiki yangu mnyama ben zen TarotMwizukulu jilala....!