Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,499
- 86,025
Usiwaamini CCM kamweHapana... Jiwe aliiharibu hii nchi sana... Mama anaiweka sawa
Usiwaamini CCM kamweHapana... Jiwe aliiharibu hii nchi sana... Mama anaiweka sawa
Hahahahah kwa akili walionayo awamu ya 6 hawashindwi! Tarura wamejiondoa kwenye mfumo electronic wamerudisha ile ya kukata ticket kwa cash wanajizolea hela tu😅Yes...aanzishe Tozo ya COVID-19 kupunguza makali ya COVID-19 kwa serikali.
Hahahahahah anaiweka sawa kwa kurudisha inflation na maisha magumu kwa maskini 😅Hapana... Jiwe aliiharibu hii nchi sana... Mama anaiweka sawa
Chief hii kufungua nchi naona kama ni adhabu kwa wanyonge ambao walimsupport hayati jiwe 😅!?Nchi imefunguka wacha walielie tu
Huu ndio wakati wa kutoboa.Chief hii kufungua nchi naona kama ni adhabu kwa wanyonge ambao walimsupport hayati jiwe 😅!?
Yani ni kama wanyonge wanakomolewa flani 😅😅😅 watubu dhambi za kumsapoti harakati za hayati JPM!
Tunaanzia wapi sasa hebu tupeane ramani mi sielewi kabisa yani😅Huu ndio wakati wa kutoboa.
Hahahahahah anaiweka sawa kwa kurudisha inflation na maisha magumu kwa maskini 😅
Aisee sasa hivi ndio muda muafaka wa kununua crown na mark x "new model", bei zake lazima ziporomoke huku mtaani kadri mafuta yanavyopanda bei😆Mama anafungua nchi tunataka bei ifike 5,000 kwa litre ili tuheshimiane😅
Pesa ameweka kwenye mifuko ya waliopo ofisini huko😅 kwa sie wa mtaani hamna kitu kama hicho!We utakuwa mchochezi... Mama anaweka pesa mifukoni we unasema analeta maisha magumu na inflation
Pamoja na maji kutoka kwa kusua sua, bill ya mwezi uliopita ni kubwa kuliko maji yakiwepo 24/7
Mwenzenu anaangalia CD ya taarabu asubuhi-jioni
Mama mambo ya mafuta unataka afanye nini? hana control ya bei na wala hawezi hapa ungemlaumu yeye na serikali yake na CCM kuhusu maji, umeme haya yako katika uwezo wao ni jukumu lao. kuhusu bei kupanda lazima ujuwe shipping dunia nzima bei ziko juu karibia 50% plus nenda kaulize shipping utashangaa bei lakini hii sio suala la kudumu wa China wakiachia empty containers tu bei zitashuka maana asilimia kubwa ya empty containers yako China yalipelekwa wakati wa Corona waliyachukuwa empty ili biashara zikianza shipping kutoka China iwe rahisi wafanye export kuliko wengine. Hawa wa China ndio nuksi wanatumia utajiri wao kuwamaliza wengine.Kutokana na hayo matatizo yaliyotajwa hapo juu. Je Mama Samia anatupeleka wapi na wasaidizi wake?! Tutaishia wapi?! Kumbekeni Omicron nayo yatunyemelea kama bado haijafika! Kweli bongo bahati mbaya….
JiOngezeTunaanzia wapi sasa hebu tupeane ramani mi sielewi kabisa yani😅
MkomeKutokana na hayo matatizo yaliyotajwa hapo juu. Je Mama Samia anatupeleka wapi na wasaidizi wake?! Tutaishia wapi?! Kumbekeni Omicron nayo yatunyemelea kama bado haijafika! Kweli bongo bahati mbaya….
Na gesi ya kupikia (Oryx) sasa ni Tshs. 58,000/-. Ile ya 15kgTuliambiwa itashuka December pengine huku kupanda ndio maandalizi ya kushuka