kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 8,625
- 12,194
Malaya ndio wanaotangatanga, mara huyu mara yule, na wanasiasa wanachukuwa huo mfumo?
Kati ya watu wasiokuwa na akili sawa sawa ni huyo MbenaKuna kila dalili za aliyekuwa Mbuge wa Iringa, Mwenyekiti Kanda ya Nyasa na Mjumbe wa Kamati kuu na Mkutano Mkuu Mchungaji Peter Msigwa kurudi CHADEMA 23/03/2025.
Kashajitenga na CCM.
Je, Urafiki wake na Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA ndo unamfanya alambe matapishi yake?
Mwingine anayepokelewa CHADEMA ni Dr. Slaa.
Kama ikiwa hivyo, CHADEMA itakuwa imezaliwa mara ya pili. Kila la heri
View attachment 3276192
Msigwa alitambulishwa kuwa mwanachama mpya wa CCM baada ya kutimka kutoka CHADEMA Siku ya Jumapili, Juni 30, 2024, mbele ya wajumbe wa halmashauri kuu ya chama hicho (NEC), katika kikao kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan. Kama atarudi CHADEMA, atakuwa hajaa huko hata mwaka mmoja.
View attachment 3276186
Mchungaji Peter Simon Msigwa
Msigwa aliikimbia CHADEMA baada ya kushindwa na Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa tofauti ya kura mbili tu, katika uchaguzi wa ndani wa CHADEMA uliofanyika Mei 29, 2024 huku akimshtumu aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho taifa, Freeman Mbowe, kwa kutumia mamlaka yake kuingilia mchakato wa demokrasia ndani ya chama kulazimisha watu anaowataka yeye ndo wawe washindi.
Sio yeye tuu hata covid 19 nao wako mbioniKuna kila dalili za aliyekuwa Mbuge wa Iringa, Mwenyekiti Kanda ya Nyasa na Mjumbe wa Kamati kuu na Mkutano Mkuu Mchungaji Peter Msigwa kurudi CHADEMA 23/03/2025.
Kashajitenga na CCM.
Je, Urafiki wake na Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA ndo unamfanya alambe matapishi yake?
Mwingine anayepokelewa CHADEMA ni Dr. Slaa.
Kama ikiwa hivyo, CHADEMA itakuwa imezaliwa mara ya pili. Kila la heri
View attachment 3276192
Msigwa alitambulishwa kuwa mwanachama mpya wa CCM baada ya kutimka kutoka CHADEMA Siku ya Jumapili, Juni 30, 2024, mbele ya wajumbe wa halmashauri kuu ya chama hicho (NEC), katika kikao kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan. Kama atarudi CHADEMA, atakuwa hajaa huko hata mwaka mmoja.
View attachment 3276186
Mchungaji Peter Simon Msigwa
Msigwa aliikimbia CHADEMA baada ya kushindwa na Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa tofauti ya kura mbili tu, katika uchaguzi wa ndani wa CHADEMA uliofanyika Mei 29, 2024 huku akimshtumu aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho taifa, Freeman Mbowe, kwa kutumia mamlaka yake kuingilia mchakato wa demokrasia ndani ya chama kulazimisha watu anaowataka yeye ndo wawe washindi.
Kwani ni uongo kwamba Mbowe alimfanyia figisu ?Kuna kila dalili za aliyekuwa Mbuge wa Iringa, Mwenyekiti Kanda ya Nyasa na Mjumbe wa Kamati kuu na Mkutano Mkuu Mchungaji Peter Msigwa kurudi CHADEMA 23/03/2025.
Kashajitenga na CCM.
Je, Urafiki wake na Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA ndo unamfanya alambe matapishi yake?
Mwingine anayepokelewa CHADEMA ni Dr. Slaa.
Kama ikiwa hivyo, CHADEMA itakuwa imezaliwa mara ya pili. Kila la heri
View attachment 3276192
Msigwa alitambulishwa kuwa mwanachama mpya wa CCM baada ya kutimka kutoka CHADEMA Siku ya Jumapili, Juni 30, 2024, mbele ya wajumbe wa halmashauri kuu ya chama hicho (NEC), katika kikao kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan. Kama atarudi CHADEMA, atakuwa hajaa huko hata mwaka mmoja.
View attachment 3276186
Mchungaji Peter Simon Msigwa
Msigwa aliikimbia CHADEMA baada ya kushindwa na Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa tofauti ya kura mbili tu, katika uchaguzi wa ndani wa CHADEMA uliofanyika Mei 29, 2024 huku akimshtumu aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho taifa, Freeman Mbowe, kwa kutumia mamlaka yake kuingilia mchakato wa demokrasia ndani ya chama kulazimisha watu anaowataka yeye ndo wawe washindi.
Sio sababu, huko ccm aliokenda sio ndio aliiponda akawaita majizi? Sasa huko ccm alikubaliana na mfumo? Mwanasiasa njaa na mnafiki tu huyuUzuri msigwa alishaweka wazi hana ugomvi na chadema ila hakubaliani na mfumo wa uongozi wa Mbowe the Autocratic, anaeendesha chama kama sultan kwa zaidi ya miaka 20, huku akiwa hakubaliani na mawazo mbadala.
Punguza kuweka moyo kwenye siasa weka akili, we unaweka chuki wenzako nyuma ya pazia wanaalikana lunchSio sababu, huko ccm aliokenda sio ndio aliiponda akawaita majizi? Sasa huko ccm alikubaliana na mfumo? Mwanasiasa njaa na mnafiki tu huyu
Msiga huko kijani alianza kwa moto, baadae kimya ghafla.Kuna kila dalili za aliyekuwa Mbuge wa Iringa, Mwenyekiti Kanda ya Nyasa na Mjumbe wa Kamati kuu na Mkutano Mkuu Mchungaji Peter Msigwa kurudi CHADEMA 23/03/2025.
Kashajitenga na CCM.
Je, Urafiki wake na Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA ndo unamfanya alambe matapishi yake?
Mwingine anayepokelewa CHADEMA ni Dr. Slaa.
Kama ikiwa hivyo, CHADEMA itakuwa imezaliwa mara ya pili. Kila la heri
View attachment 3276192
Msigwa alitambulishwa kuwa mwanachama mpya wa CCM baada ya kutimka kutoka CHADEMA Siku ya Jumapili, Juni 30, 2024, mbele ya wajumbe wa halmashauri kuu ya chama hicho (NEC), katika kikao kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan. Kama atarudi CHADEMA, atakuwa hajaa huko hata mwaka mmoja.
View attachment 3276186
Mchungaji Peter Simon Msigwa
Msigwa aliikimbia CHADEMA baada ya kushindwa na Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa tofauti ya kura mbili tu, katika uchaguzi wa ndani wa CHADEMA uliofanyika Mei 29, 2024 huku akimshtumu aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho taifa, Freeman Mbowe, kwa kutumia mamlaka yake kuingilia mchakato wa demokrasia ndani ya chama kulazimisha watu anaowataka yeye ndo wawe washindi.
Kama msigwa atarud chadema basii TL hana uwezo wa kuongoza chadema, na amesha shindwa😆😆😆😆
Kwa hiyo joseph mbilinyi kaondoka chadema! kaondoka CCM
Ila aliweza kwenda ccm alipokuwa hakikubali chama wala uongozi wake. Shituka mkuu.Uzuri msigwa alishaweka wazi hana ugomvi na chadema ila hakubaliani na mfumo wa uongozi wa Mbowe the Autocratic, anaeendesha chama kama sultan kwa zaidi ya miaka 20, huku akiwa hakubaliani na mawazo mbadala.
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama na Mgombea Urais kupitia Chadema Dr. Wilbroad Slaa amerejea Chadema na kupokelewa na Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu katika uwanja wa Ruanda Nzovwe, Mbeya. Leo tarehe 23 Machi 2025 Chama kinazindua Operesheni #NoReformsNoElection katika jiji la Mbeya.Kuna kila dalili za aliyekuwa Mbuge wa Iringa, Mwenyekiti Kanda ya Nyasa na Mjumbe wa Kamati kuu na Mkutano Mkuu Mchungaji Peter Msigwa kurudi CHADEMA 23/03/2025.