Peter Msigwa kurudi CHADEMA Machi 23, 2025?

Peter Msigwa kurudi CHADEMA Machi 23, 2025?

Wapi nimetukana?
Kwahiyo unaandika bila kujua unachoandika? Mungu akisaidie ili ujitambue
Screenshot_20250319_141807_Chrome.jpg
 
Kama ameamua kurudi na arudi tu,mbona Makamu Mwenyekiti wa chama kile aliwahi kuhama chama na kurudi tena chamani.Ila wanasiasa wana roho ngumu sana,na akirudi ataanza kuiponda CCM? Akomae hukohuko CCM hawezi kukosa hata Ukuu wa Wilaya ,kurudi CHADEMA ni zaidi ya aibu
 
Huyo bwege hawezi kuambulia kitu tena mtaji wake ulikuwa kumshambulia Mbowe sasa Mbowe hayupo dili limedoda
 
Kuna kila dalili za aliyekuwa Mbuge wa Iringa, Mwenyekiti Kanda ya Nyasa na Mjumbe wa Kamati kuu na Mkutano Mkuu Mchungaji Peter Msigwa kurudi CHADEMA 23/03/2025.

Kashajitenga na CCM.

Je, Urafiki wake na Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA ndo unamfanya alambe matapishi yake?

Mwingine anayepokelewa CHADEMA ni Dr. Slaa.

Kama ikiwa hivyo, CHADEMA itakuwa imezaliwa mara ya pili. Kila la heri
View attachment 3276192
Msigwa alitambulishwa kuwa mwanachama mpya wa CCM baada ya kutimka kutoka CHADEMA Siku ya Jumapili, Juni 30, 2024, mbele ya wajumbe wa halmashauri kuu ya chama hicho (NEC), katika kikao kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan. Kama atarudi CHADEMA, atakuwa hajaa huko hata mwaka mmoja.
View attachment 3276186
Mchungaji Peter Simon Msigwa

Msigwa aliikimbia CHADEMA baada ya kushindwa na Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa tofauti ya kura mbili tu, katika uchaguzi wa ndani wa CHADEMA uliofanyika Mei 29, 2024 huku akimshtumu aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho taifa, Freeman Mbowe, kwa kutumia mamlaka yake kuingilia mchakato wa demokrasia ndani ya chama kulazimisha watu anaowataka yeye ndo wawe washindi.
Tatizo hakuna mtu ataemuelewa na kumuamini tena

Inaonekana ni kwamba ameshachanganyikiwa

Note:
Ukihama chama usikitukane,hata ukirudi inakua Rahisi
 
Nikufahamishe nini nawe unajua!
Sikushangai kwakuwa uaishi CCM kweye " PEPO YA MABWEGE"
Kule ambapo mabwege walikaa miaka nenda rudi wakidai kiongozi flan ni mfalme pindi alipotaka kuondolewa kwa sanduku la kura mabwege yakageuka na kumpigia chepuo aendelee kuwepo. Yaani hakuwa mfalme tena na kiongozi wa milele chamani. Kwao mabwege huyu alikuwa mwanadiplomasia na kiongozi shupavu kuwahi kutokea.
Chama /taasis ikiwaambia wakazi wake wachangie " mabwege" ambao hata siyo wachangiaji huinua viuno juu na kuwakatisha tamaa, wanasahau pesa za muhindi zinazomwagwa hapo LUMUMBA. Muulizr RATCO anatoa ngapi? Mabwege hayasemi.
Mabwege hayataki kujua hata wimbo wwa walio wengi wa NO REFORM NO ELECTION Wanashupaza shinto.
Mtu aliye amini kwamba chama ni ofisi na siyo itikadi leo atakuwa na lipi la kusema???
 
Sawa tu. Hayo ndio maisha waliojichagulia. Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa Wanasiasa wengi wana tabia za kimalaya malaya. Leo yupo na huyu na kesho yupo kwa mwingine.
 
Arudi tu maana huko tangu aende anaishi maisha ya shida, ila ajifunze uvumilivu - siasa bila uvumilivu hufiki popote.
Matatizo hayakimbiwi bali unayakabili.
 
Ccm walikuwa wanamtumia kuiharibia cdm taswira yake kwa umma, lakini walikuwa wanajua hana jipya. Na huko ccm hakuwa na ajenda nyingine zaidi ya kuanika chuki yake binafsi kwa Mbowe. Baada ya uchaguzi wa cdm ni kama ajenda yake binafsi na Mbowe imekufa. Hivyo hana thamani yoyote ndani ya ccm.

Cdm wasilogwe wakampa cheo chochote iwapo kweli atarejea, maana mtu anayeongea sana kama huyo sio wa kuaminika kabisa.
Tatizo la CDM ni kuwa, wao wataona kuwa yule aliondoka sababu ya Mbowe tu. Lakini ukiangalia unaona ni aina gani ya mtu bwana yule is. Wange achana nae tu.
 
Sikushangai kwakuwa uaishi CCM kweye " PEPO YA MABWEGE"
Kule ambapo mabwege walikaa miaka nenda rudi wakidai kiongozi flan ni mfalme pindi alipotaka kuondolewa kwa sanduku la kura mabwege yakageuka na kumpigia chepuo aendelee kuwepo. Yaani hakuwa mfalme tena na kiongozi wa milele chamani. Kwao mabwege huyu alikuwa mwanadiplomasia na kiongozi shupavu kuwahi kutokea.
Chama /taasis ikiwaambia wakazi wake wachangie " mabwege" ambao hata siyo wachangiaji huinua viuno juu na kuwakatisha tamaa, wanasahau pesa za muhindi zinazomwagwa hapo LUMUMBA. Muulizr RATCO anatoa ngapi? Mabwege hayasemi.
Mabwege hayataki kujua hata wimbo wwa walio wengi wa NO REFORM NO ELECTION Wanashupaza shinto.
Mtu aliye amini kwamba chama ni ofisi na siyo itikadi leo atakuwa na lipi la kusema???
SI ndio maana nimekuacha maana unajua kila kitu haya tuadisie kuhusu huyo RATCO anatoa ngapi na kaingiaje kwenye huu mjadala na pepo yenu ya wajanja maji Tone Tone!
 
Kuna kila dalili za aliyekuwa Mbuge wa Iringa, Mwenyekiti Kanda ya Nyasa na Mjumbe wa Kamati kuu na Mkutano Mkuu Mchungaji Peter Msigwa kurudi CHADEMA 23/03/2025.
1742392185461.png

Usishangae hata uyo mpiga makofi akasaidia upande wa pili
 
Back
Top Bottom