Peter Msigwa kurudi CHADEMA Machi 23, 2025?

Peter Msigwa kurudi CHADEMA Machi 23, 2025?

Hahaha hapo nyuma kidogo alikuwa anaonekana ni think tank wa Team Lisu, kwasababu ajenda zao na ccm zilikuwa zinafanana "Kumuondoa Mbowe CDM".

Kamaliza kazi sasa sijui nini olitafuata baada ya kuwa wamemaliza kazi.
sidhan kama una akili timamu wewe mbowe huyu huyu aliyeanza kupgiwa kampen na ccm mpk tbc kuweka live aktangaza gombea uenyekt cha ajabu kwny uchaguzi tbc hawakuonyesha kwa bahati mbaya, hv unamjua lissu kweli ww chawa jike? Muulize kikwete atakwambia au maviongoz ya maccm wanamjua kuliko wewe chawa wao.
 
Kuna kila dalili za aliyekuwa Mbuge wa Iringa, Mwenyekiti Kanda ya Nyasa na Mjumbe wa Kamati kuu na Mkutano Mkuu Mchungaji Peter Msigwa kurudi CHADEMA 23/03/2025.

Kashajitenga na CCM.

Je, Urafiki wake na Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA ndo unamfanya alambe matapishi yake?

Mwingine anayepokelewa CHADEMA ni Dr. Slaa.

Kama ikiwa hivyo, CHADEMA itakuwa imezaliwa mara ya pili. Kila la heri
View attachment 3276192
Msigwa alitambulishwa kuwa mwanachama mpya wa CCM baada ya kutimka kutoka CHADEMA Siku ya Jumapili, Juni 30, 2024, mbele ya wajumbe wa halmashauri kuu ya chama hicho (NEC), katika kikao kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan. Kama atarudi CHADEMA, atakuwa hajaa huko hata mwaka mmoja.
View attachment 3276186
Mchungaji Peter Simon Msigwa

Msigwa aliikimbia CHADEMA baada ya kushindwa na Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa tofauti ya kura mbili tu, katika uchaguzi wa ndani wa CHADEMA uliofanyika Mei 29, 2024 huku akimshtumu aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho taifa, Freeman Mbowe, kwa kutumia mamlaka yake kuingilia mchakato wa demokrasia ndani ya chama kulazimisha watu anaowataka yeye ndo wawe washindi.
Msigwa ni mtu maslahi. Hana jipya.. Ameona hapatiwi ukuu wa wilaya. Sasa ana jua hata nafasi ya kugombea ubunge hata pewa na Ccm. Bora ageuke jiwe la chumvi.
 
sidhan kama una akili timamu wewe mbowe huyu huyu aliyeanza kupgiwa kampen na ccm mpk tbc kuweka live aktangaza gombea uenyekt cha ajabu kwny uchaguzi tbc hawakuonyesha kwa bahati mbaya, hv unamjua lissu kweli ww chawa jike? Muulize kikwete atakwambia au maviongoz ya maccm wanamjua kuliko wewe chawa wao.
Hahaha Team Lisu matusi mmebarikiwa, lakini haibadili ukweli. Msingwa alijiunga na CCM akiwa Team lisu na alishambulia kila jukwaa la CCM na CCM walifurahi pamoja na Team lisu kuona Mbowe anatukanwa na kudhalilishwa.

Sasa Lisu kashinda, Husikii CCM wala Msigwa wakisema au kupiga kelele.
 
Huyp mpumbavu ameshaitukana sana Chadema asirudi akae huko huko kwa wauaji, kwanza alichangia mauaji ya kikatili ya Mzee wetu Ali Kibao
Mpaka leo najiuliza Mzee kibao dk zake za MWISHO zilikuwaje?
 
March ipi sjui unaisemea. Ila ikiwa mnapenda Chadema mngeacha kutukana Sana, na kusema vitu vya kipuuzi. Kama hivi alaf mngekua mnafanya mijadala ya kujenga.

Sasa daily ni kunisema CCM na member Waje. Mtawezaje kusonga mbele kwa kuijadili CCM kindezi Ndezi ka hivi ?

Mfano we msigwa atarudi march 25.
March ipi ?
Na pia arudi ili iweje ?
 
CHADEMA NI CHAMA CHA SIASA SIO KIKUNDI CHA WANAHARAKATI,KWENYE SIASA HAKUNA RAFIKI WALA ADUI WA KUDUMU NI KWELI MSIGWA ALIWAKOSEA WANACHADEMA WENGI LAKINI TUSISAHAU PIA CHADEMA ILIMKOSEA SANA MSIGWA WASAMEHEANE.
TUTOFAUTISHE HARAKATI NA SIASA
 
March ipi sjui unaisemea. Ila ikiwa mnapenda Chadema mngeacha kutukana Sana, na kusema vitu vya kipuuzi. Kama hivi alaf mngekua mnafanya mijadala ya kujenga.

Sasa daily ni kunisema CCM na member Waje. Mtawezaje kusonga mbele kwa kuijadili CCM kindezi Ndezi ka hivi ?

Mfano we msigwa atarudi march 25.
March ipi ?
Na pia arudi ili iweje ?
Mkuu, Msigwa amerudi CHADEMA Mei 2026
 
Back
Top Bottom