Peter Msigwa kurudi CHADEMA Machi 23, 2025?

Mtaji wa Chama cha siasa ni Watu. Kama hakitaki watu kitajiitaje chama cha siasa. Pia kuwa majini na mihemko yako, acha kutukana watu hata kama hukubaliani na maamuzi yao.

Alichangiaje mauaji ya Ali Kibao? Wenzio hatujui
Makubwa
 
Huyo alishindwa kabisa kuhama CHADEMA, alikuwa akili na roho yake iko CHADEMA ila mwili CCM aweze kula. Nadhani unachosema ni sahihi lazima atarudi. CCM wamemkaushia hana dili.
Ccm walikuwa wanamtumia kuiharibia cdm taswira yake kwa umma, lakini walikuwa wanajua hana jipya. Na huko ccm hakuwa na ajenda nyingine zaidi ya kuanika chuki yake binafsi kwa Mbowe. Baada ya uchaguzi wa cdm ni kama ajenda yake binafsi na Mbowe imekufa. Hivyo hana thamani yoyote ndani ya ccm.

Cdm wasilogwe wakampa cheo chochote iwapo kweli atarejea, maana mtu anayeongea sana kama huyo sio wa kuaminika kabisa.
 
Ngoja tuone
 
Akirudi Msigwa ,itakuwa hamna sababu kuwanyooshea kidole Covid 19 naoitabidi warudi nyumbani
Bora hao covid hawajawahi kuinanga Chadema kama alivyofanya huyo mbilikomo afie hukohuko
 
Ccm walikuwa wanamtumia kuiharibia cdm taswira yake kwa umma, lakini walikuwa wanajua hana jipya. Na huko ccm hakuwa na ajenda nyingine zaidi ya kuanika chuki yake binafsi kwa Mbowe. Baada ya uchaguzi wa cdm ni kama ajenda yake binafsi na Mbowe imekufa. Hivyo hana thamani yoyote ndani ya ccm.

Cdm wasilogwe wakampa cheo chochote iwapo kweli atarejea, maana mtu anayeongea sana kama huyo sio wa kuaminika kabisa.
😆😆😆😆
 
kabisa
hoja yake kwenye majukwaa yote ilikuwa kumchafua Mbowe sasa amebaki hana cha kusema
 
Mtaji wa Chama cha siasa ni Watu. Kama hakitaki watu kitajiitaje chama cha siasa. Pia kuwa majini na mihemko yako, acha kutukana watu hata kama hukubaliani na maamuzi yao.

Alichangiaje mauaji ya Ali Kibao? Wenzio hatujui
.
 
Attachments

  • 1725891704170.jpeg
    1725891704170.jpeg
    44.3 KB · Views: 17
Kuna kila dalili za aliyekuwa Mbuge wa Iringa, Mwenyekiti Kanda ya Nyasa na Mjumbe wa Kamati kuu na Mkutano Mkuu Mchungaji Peter Msigwa kurudi CHADEMA 23/03/2025.

Kashajitenga na CCM.

Je, Urafiki wake na Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA ndo unamfanya alambe matapishi yake?

Mwingine anayepokelewa CHADEMA ni Dr. Slaa.

Kama ikiwa hivyo, CHADEMA itakuwa imezaliwa mara ya pili. Kila la heri
View attachment 3276192
Msigwa alitambulishwa kuwa mwanachama mpya wa CCM baada ya kutimka kutoka CHADEMA Siku ya Jumapili, Juni 30, 2024, mbele ya wajumbe wa halmashauri kuu ya chama hicho (NEC), katika kikao kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan. Kama atarudi CHADEMA, atakuwa hajaa huko hata mwaka mmoja.
View attachment 3276186
Mchungaji Peter Simon Msigwa

Msigwa aliikimbia CHADEMA baada ya kushindwa na Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa tofauti ya kura mbili tu, katika uchaguzi wa ndani wa CHADEMA uliofanyika Mei 29, 2024 huku akimshtumu aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho taifa, Freeman Mbowe, kwa kutumia mamlaka yake kuingilia mchakato wa demokrasia ndani ya chama kulazimisha watu anaowataka yeye ndo wawe washindi.
Gentleman,
uanataka kusema muungwana anapishana na Mungai, Wenje, Devota Minja, Sugu na Jakob midevu wanaopiga jeramba kuelekea ccm? :pedroP:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom