Peter Msigwa: Kumbe sio Kila John ni Yohana

nimesoma pia kwenye biblia na kukutana na jina la kimombo peter ambaye kwa kiswahili ni petro. peter wa kwenye biblia alikuwa mwanafunzi imara wa Yesu na alikuwa tayari kufa kuitangaza injili, hakuwa na tamaa za kisiasa, hakuwa mpotoshaji, hakuwa mropokaji , alijawa na hekima tele, alihubiri injili mpaka mauti yake. tofauti ya peter wa kwenye biblia na huyu tuliyenaye ni kwamba peter huyu ni mchunguji aliyetoka kwenye uchungaji kwa tamaa za kisiasa, hayupo radhi kufia kwenye dini akitangaza injili, ni mpotoshaji na ni mropokaji, na kapungukiwa hekima ya kuamua na kutenda.

nimetafakari na kujua kuwa sio kila peter ni petro wengine ni petroli
Haivutii
 
Nimewahi kumsoma Yohana Mbatizaji kwenye Biblia. Yule ambaye kwa kimombo huitwa John the Baptist. Lakini leo pia nimepata bahati ya kuwasikia John wawili wakitoa hotuba.

John mmoja ametoa hotuba fupi sana, nzito sana, ya kinyenyekevu sana lakini ya kijasiri sana. Kwa uzito wa hotuba ya John wa kwanza, imelazimu hotuba ya John wa pili kuwa ndefu sana.

Niliposikia hotuba ya John wa pili nikagundua kuwa hotuba ya John wa kwanza ni kama imefanya ubatizo kwa hotuba ya John wa pili....maana maneno mengi ya hotuba ya John wa Pili yametokana na maneno machache tu ya hotuba ya John wa kwanza.

Wote ni John.... lakini kumbe sio kila John ni Yohana!!!.
Jinsi ya kutatua matatizo matatu ya Mwl. Nyerere (Ujinga, Umasikini na Maradhi) - JamiiForums
 
Hahahaa........ " .....basi Yesu akawaambia wale wanafunzi ...kamwambieni Johnthebaptist kwamba vipofu wanaona, viwete wanatembea, wagonjwa wanapona na wenye dhambi wanafunguliwa vifungo vyao"
Johnthebaptist alitaka kujua kama Yesu ndiye Masihi.
Mnyika amejibiwa sawasawa na hoja na la msingi kaambiwa akamuulize AG mstaafu Jaji Werema namna serikali ilivyoshinda kesi ya fidia iliyofunguliwa na mwanasheria maarufu jimboni kibamba Mgongowafimbo!
Buku7 si mchezo ukikubali kupoteza lazima ujitahidi update mgao
 
Utopianism ndo tatizo lenu na mtaemdelea kuwa hvyo hvyo wenzenu wanapetaaaaa
Lazima wapete so kila kitu wameshika was mpaka akili za wajinga? Na mtaji was mkubwa ni ujinga jinsi wajinga wanavyoongezeka ndiyo mafanikio yao watu wasiyo kuwa na vision wanazidi kuongezeka wengine kwasababu ya njaa
 
Sasa ww kama mnavision halafu hamuungwi mkono nani mjinga????

Wajinga wanaungana na kuwaacha nyie utopianists kuzid kuamini ktk ndoto sisi tutaenda na wajinga wenzetu ili wajinga wetu wasome bure.. Wapate huduma za afya bora na wapate maendeleo ya kwel ili wenye vision mzd kuwapinga kwa hatua za kimaendeleo
 
Hauko serious huduma za Afya bora??? Labda ninaota wapi hiyo hii hii bongo? Labda kwa nyie wanufaika wachache ambao moo 0.0001% ya watanzania wote.
 
Sasa ww kama mnavision halafu hamuungwi mkono nani mjinga????

Wajinga wanaungana na kuwaacha nyie utopianists kuzid kuamini ktk ndoto sisi tutaenda na wajinga wenzetu ili wajinga wetu wasome bure.. Wapate huduma za afya bora na wapate maendeleo ya kwel ili wenye vision mzd kuwapinga kwa hatua za kimaendeleo
Kuwepo wajinga wengi haina maana wale werevu ni wajinga, wajinga watabaki kuwa wajinga hata kama mwerevu ni mmoja haiwezi kubadilisha mjinga kuwa mwerevu
 
Nimewahi kumsoma Yohana Mbatizaji kwenye Biblia. Yule ambaye kwa kimombo huitwa John the Baptist. Lakini leo pia nimepata bahati ya kuwasikia John wawili wakitoa hotuba.

John mmoja ametoa hotuba fupi sana, nzito sana, ya kinyenyekevu sana lakini ya kijasiri sana. Kwa uzito wa hotuba ya John wa kwanza, imelazimu hotuba ya John wa pili kuwa ndefu sana.

Niliposikia hotuba ya John wa pili nikagundua kuwa hotuba ya John wa kwanza ni kama imefanya ubatizo kwa hotuba ya John wa pili....maana maneno mengi ya hotuba ya John wa Pili yametokana na maneno machache tu ya hotuba ya John wa kwanza.

Wote ni John.... lakini kumbe sio kila John ni Yohana!!!.
Mh ngoja tusubiri, inasemekana Mh. Msigwa ana kesi ya ubakaji, very soon atapelekwa mahakamani. Anasikitisha, mchungaji unabaka?
 
Back
Top Bottom