kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,818
- 7,493
Siasa za Afrika zimejaa upuuzi,kujipendekeza na unafki wakutosha mpaka kusaza
John wa pili ni 'MBWATUKAJI' nadhani John wa kwanza alilielewa hilo mapema na alilitarajia hilo akamchokoza makusudi nia aliataka John wa pili ABWATUKE mbele ya wapiga kura wa Ubungo na kama ilivyotarajiwa John wa pili kwa kuwa huwa anatumia 'ubongo wa mble' kufikiria kama ilivyo kwa MC aliyetoa nafasi ya John wa kwanza kuongea bila kujua madhara ya hotuba ya John wa kwanza akabwatuka mara TATU kama Yuda wa iskariot..tofauti ya kauli John wa pili na ile ya yuda ni kwamba John wa pili katumia kisukuma "alipobwatuka" mara ya tatu..NooH Fidia!!Nimewahi kumsoma Yohana Mbatizaji kwenye Biblia. Yule ambaye kwa kimombo huitwa John the Baptist. Lakini leo pia nimepata bahati ya kuwasikia John wawili wakitoa hotuba.
John mmoja ametoa hotuba fupi sana, nzito sana, ya kinyenyekevu sana lakini ya kijasiri sana. Kwa uzito wa hotuba ya John wa kwanza, imelazimu hotuba ya John wa pili kuwa ndefu sana.
Niliposikia hotuba ya John wa pili nikagundua kuwa hotuba ya John wa kwanza ni kama imefanya ubatizo kwa hotuba ya John wa pili....maana maneno mengi ya hotuba ya John wa Pili yametokana na maneno machache tu ya hotuba ya John wa kwanza.
Wote ni John.... lakini kumbe sio kila John ni Yohana!!!.
JPM leo kaondolewa kwenye game,ni kama kwenye mpira,mechi inaanza unamtia dole la jichoni mshambuliaji unayekabana naye!Yaani unakuwa umemtoa kwenye mchezo!Anabaki anaweweseka tu!Msisahau kwenda mahakamani Ijumaa!
Nimefurahi Kuna viongozi wenye hekimaJohn wa Kwanza kabadilisha mwelekeo wa shughuli,
Kila mzungumzaji aliefuata wameacha Ishu iliyowaleta na kuanza kumwongelea John wa Kwanza.
Huyu John wa Kwanza ameifanya siku ya leo kuwa siku bora.
Nadhani hii ndio hotuba nzuri kuwahi kutokea tangu Uhuru.
Hongera John wa kwanza.
Wapata tabu kweliJibu swali......unajua maana ya kusujudu?!
Kweli kabusaSio kwa kupanic kule kwa kweli.
John wa kwanza 3 - John wa pili 0
Sawa mkuuSasa tunapeleka azimio Kk ya ccm kupinga kuwaalika wabunge Wa Chadema kwenye shughuli za mkubwa Sizonje kwani wakati sie tunamsifia na kuwaponda wao na kuwakashifu, wao wanatummia dakika 3 kuzungumza kwa unyenyekevu na hekima kutu pre empty hadi Makonda na Mzee baba wanajikuta hawajui wanaongea nini.
Kwa kweli hawa Chadema wanahazina ya vijana wenye akili.
Quote; Kada Wa ccm
Basi kesho Yeye tutamsifiaHaya ndio mambo yanayoendelea kutuchelewesha kufika tunakotaka kwenda. Ni dhahiri kwamba Roho Mtakatifu anatujalia kila mmoja wetu kipaji au talanta tofauti na mwenzake. Lililo la muhimu ni kila mtu kutambua namna alivyopendelewa na Roho.
Pale hayakuwa mashindano ya hotuba Bali namna ya Kueleza mahitaji ya watanzania. Mnyika hakuweza kueleza mambo muhimu kwa Maneno machache kwa sababu aliigiza jina la YOHANA MBATIZAJI.Jina lina nafasi ndogo sana katika kumfanya mtu afanikiwe au ashindwe.
Tujifunze kupongezana pale kila mmoja anapofanya vizuri. Mbona hata Magufuli kasema baadhi ya mambo kwa mantiki tu. Kwa nini Msigwa hajachukua upande Wa kusifu ya kila upande?
Kweli mkuuJohn binadamu Vs John Jiwe
Na Kuna wachungaji wa ngombeWachungaji wengine ni wanywa mataputapu aka ulanzi.
Hao unawajua wewe.Na Kuna wachungaji wa ngombe
Hapo umenenaWahitaji kutulia na kupata muda wa 'kupumua' japo kidogo. Itakusaidia kutafakari na kurudi kwenye mada.
Nadhani nawe ulishuhudia Azam TV/TBC, John Jiwe alivyojikuta anatafuta utukufu binafsi hata akawatosa WASTAAFU walomfikisha hapo anapojivunia leo.
Huu ndio ukweliNdio maana mkulu hatakuja kuwaruhusu wapinzani kufanya siasa za majukwaani kwa sababu zinahatarisha afya.
Open ua mouth!No pappa